WanaJF wa humu wengi ni wabaguzi

WanaJF wa humu wengi ni wabaguzi

Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua .

Najingine maisha Mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao.
Mimi sina ubaguzi mwaya, Mungu akulinde usidhurike.
 
Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua .

Najingine maisha Mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao.
Moto wa mabua
 
Pole sana. Kila kitu kitakuwa sawa
 
Unique Flower pole sana rafiki, anayekujua na kukufahamu vizuri ni wewe. Usitegemee kupendwa na kusaidiwa au kufarijiwa na mtu mwingine. Katika haya maisha Sote tuna Huzuni, majonzi na mahangaiko lakini siku zote huwa tunaji rebuilt wenyewe. Usitegemee furaha yako uipate JamiiForums. Love yourself and others will love you. Ukiwa unalalamika watu watakudharau na kukubeza Kila mara.
 
Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua .

Najingine maisha Mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao.
Uko sawa kweli mdada?
 
Back
Top Bottom