Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,093
- 69,641
Ma'Mdogo heshima kwakoYani ukimfuma Daby na pachimbike kabisa ruksa nimekupa tena kubwa
Ma'Mdogo heshima kwakoYani ukimfuma Daby na pachimbike kabisa ruksa nimekupa tena kubwa
Hs anamuogopa paw hata kukoment anaogopa.
NaamKibiti tenaaaa
Leo mchukue tu hata mwezi mzima maana naumwa kila mahali.Ila leo ujue humbebi ujue.
Nakaba mpaka mwisho
Umeachiwa eeeh!!
Alafu zamani hadi mods walikuwaga wanajichanganya kwenye chats, siku hizi walaaaa.Wanipe tu hilo ban...ila ukweli ndio huo.
Samtaim wanatafutaga wenyewe hekaheka.
Mara edit, mara sijui wanafuta....almras tafarani
Aaaah kama ni hivyo nami naja uniombee jirani.Nilikuwa nawaombea jiran hakuna kingine
Si unajua tangu nirudi Arusha sijielewi elewi.Mwenyewe sikusomi,sijui ni haya makinikia au unaagenda yako ya siri mana si kwa kujichimbia huko
Asante.
hapa nimening'iniza mguu juu kama niko wodi ya majeruhi wa bodaboda
Naombea wasioolewa tu wenye wenza mkitaka mje na waume zenuAaaah kama ni hivyo nami naja uniombee jirani.
Ha ha ha ule ndio upendo huon hata hukumu yako haikuwa kubwa sana
Bando lako lilikuwa la 250 tu
Khaaaah!!!
Ha ha ha hyo tafsir ya chochote ndio ngumu sasaKasema atatoa chochote mpaka upigwe ban na wewe.
Antie jana umelala mapema sana, na umechelewa kuamka, na mkwe hayupo. Hebu nyoosha maelezo.Nakuonaa nakuonaaa
Na haitaweza muacha mtu salama.Kila mtu anamruka mwenzake... Hii vita sio salama
Shemeji pole sana, ila ilikuwa ya masaa machache tu, maana tulikuwa tumeshajiandaa kukumiss wiki nzima.
Mie nawapenda mbona