Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,594
- 160,210
Bando lako lilikuwa la 250 tu
Bando lako lilikuwa la 250 tu
Sio ubaguz jiran ili wewe na mumeo mbarikiwe pamoja unataka uombewe peke ako tu jiranOoooh kumbe!! Huyo mungu wako mbaguzi wa nini sasa jirani!!
Jirani jamani, nimesema nitaandamana.Ha ha ha hyo tafsir ya chochote ndio ngumu sasa
MaskiniiiiiHs anamuogopa paw hata kukoment anaogopa.
Ha ha ha ha umesema utaandamana utoe chochote enhee?Jirani jamani, nimesema nitaandamana.
Jirani kwahiyo inabidi tu nikuamini si ndio!!! Basi sawa, tafanyaje sasa!!!Kwahyo jiran hatuaminian siku hzi?
We unataka ya maukweli kweli au ya mauongo uongo?Jamaniiiiii ma ukweli ukweliiiii au mauongo uongooo asanten jamaniiii kumbe nanyi mnanipenda aaaaaah wacha nami nijiringie tu sasa
Baas kesho tutaenda wote mazoezn vip nkupitia jiran yanguJirani kwahiyo inabidi tu nikuamini si ndio!!! Basi sawa, tafanyaje sasa!!!
We mbona hutaki kumuachia mume wetu angalau dk 1?
Unadhani mie sina wivu?
Siku ya 3 leo nakumbatia mito kitandani.
Na leo nakuja, mtanikuta sebleni nawasubiri.
Wait...
Itakuwa....au walikunywa vinibu?
Mhhhhh.....haiwezekani uniachie mwezi mzima.Leo mchukue tu hata mwezi mzima maana naumwa kila mahali.
HakikaTUMEUMBIWA UPENDO
Jirani mie kwani nilitoa maneno ya shombo? Ule uzi niliu-unfollow kabisa jirani. Sitaki balaa.Ha ha ha sie na wewe nan kanyooka sjakuona ukirud tena kule kutoa maneno ya shombo mods sio watu wazur
Utawala wa baba Magu umeingia kila sehemu.Alafu zamani hadi mods walikuwaga wanajichanganya kwenye chats, siku hizi walaaaa.