Swali langu hukujibu, in case umesahau mie bado nakumbuka.Na wapange vizuri maana mziki wetu si mdogo atii!
Tupoooooo
Pesa ya gengeni nakuletea mke mwenza, kadamkia kazini.Morning too [emoji8]
Mme wetu umemuacha wapi?
Maana hata pesa ya gengeni hajaniachia.
Tunakupenda pia gdyGdylema napendanga wooooote!!
Ha ha ha hyo tafsir ya chochote ndio ngumu sasa
Jamaniiiiii ma ukweli ukweliiiii au mauongo uongooo asanten jamaniiii kumbe nanyi mnanipenda aaaaaah wacha nami nijiringie tu sasaTunakupenda bero.
We mbona hutaki kumuachia mume wetu angalau dk 1?Mke mwenza tusipopendana unafikiri tutaishije? Usinifanyie hivyo bwana, twendege wote.
Itakuwa....au walikunywa vinibu?Mie nipo jamani, hao wengine bado hawajaamka, hangover ya w.end.
Tatizo na hawa moda nao wanatuangalia sisi sisi....ahhhhhhhh kero tuNa wapange vizuri maana mziki wetu si mdogo atii!
Ooooh kumbe!! Huyo mungu wako mbaguzi wa nini sasa jirani!!Naombea wasioolewa tu wenye wenza mkitaka mje na waume zenu
Ha ha ha sie na wewe nan kanyooka sjakuona ukirud tena kule kutoa maneno ya shombo mods sio watu wazurJirani nilitaka tu uje utoe konfesheni jamani, kumbe mmenyooka eeh!!