WanaJF ndani ya Tanga

Today i got alot of suprises. I was happy to see you guys
 
Hiyo ndiyo Tanga Blaki Womani; Tanga aihami na ndiyo kauli ya wenyeji wa huko!!!! Hongereni sana na nazidi kumshukuru Mwenyenzi MUNGU kwa kuendelea kuwafunika na damu ya mwanae wa pekee!!!
hayawi hayawi yamekuwa tanga kunani
 
Last edited by a moderator:
Jamani leo ni siku ya kukumbukwa sana jamani. Adventure ya kutosha.
 
Jamani mnanitamanisha, acha na mie nianze safari ya kuja huko, najua hadi saa 8 ucku nitakua nimefika. Nitalala kwa nani jamani sasa eeeh!
 
nyie wanajf tanga, mnafanyana nini mbona wote mmepotea ghafla!!! mnapigiana story eeeh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…