Huyu kaka ako naona ndoa imeanza kumshinda.mambo gani haya mmmmh sawaelewi
Hehehehe! Wivu sina ila roho inaniuma kwa sasa.
Kwani wewe umekula na nani?
Hehehehe! Wivu sina ila roho inaniuma kwa sasa.
Pole na safari diya
jibu swali langu kwanza
Hahahaha, mie sijaenda mpendwa!
Nawaona tu via my radar from BAE system
Umebugi Ismail N. Juma, lirada lenyewe libovu hilo! Hapo unatazama watu waliopo Lubumbashi mkuu.