sikukuu umekula na nani?
Hayawi hayawi yamekuwa. Kama kuna watu walikuwa na mashaka basi wakuje waone wenyewe.
Karibuni sana wageni & feel at home!!
Babu DC!
Kwani wewe umekula na nani?
Heeee taratibu bibie, kwani wewe nani alikufanyia booking?Tanga woyeeeee.....uwiiii....siondoki hakyamama......