reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,426
- 29,306
Ndiyo ndiyo Kaka angu wa hiariDada yangu wa hiari...
Ndiyo ndiyo Kaka angu wa hiari




nyie mnanivunja mbavu hapa khaaah. 😂😂😂nyie mnanivunja mbavu hapa khaaah.
Kho kho kho.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbavu zangu..harusi ipi na Nani...kwanza nimeshachukua fomu ya usister wa nje nianze kumtumikia bwana Yesu mieTwende taratibu dada angu.
Mie najua harusi tunayo, na sare naanza kuandaa, usinichanganye khaaah.
Yesu na Maria...🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbavu zangu..harusi ipi na Nani...kwanza nimeshachukua fomu ya usister wa nje nianze kumtumikia bwana Yesu mie
🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Mambo yenu nawaachia wenyewe.
HeheheYesu na Maria...
Mbavu zangu..harusi ipi na Nani...kwanza nimeshachukua fomu ya usister wa nje nianze kumtumikia bwana Yesu mie






wallah utaniua kwa kucheka sio hivi lol
Next time wakati tunaenda beach...You’re welcome
Next time tena
😂😂😂😂Cheka Mdogo angu maisha yenyewe mafupi hayawallah utaniua kwa kucheka sio hivi lol
Inapendeza sana...Mambo Ni🔥🔥😜🤭
Tena mnoooo😍😍Inapendeza sana...