😎😎😎 Mi mgumu.. ila maisha yale ni kamzozo aisee….Unadeka sana... Ka mwili laini kama Sufi...
Pole mpendwa... Ndiyo maisha 🤗🤗
Wewe ni mchumba tu...😎😎😎 Mi mgumu.. ila maisha yale ni kamzozo aisee….
HahahaaUnaonekana kwa nadra kama kaka kuona
🤣🤣🤣 Tunakutana tu kama Ming'ombeTutajitambulisha id zetu au tunakutana tu Kama ming'ombe..?
Mkuu unanichekesha kama chizi huku ujueAnyway Mambo yao waachie wenyewe!!
Yasikuumize kichwa!!![]()




Ndio hivyo mkuu mambo yao yasituumize kichwaMkuu unanichekesha kama chizi huku ujueAnyway Mambo yao waachie wenyewe!!
Yasikuumize kichwa!!![]()

Uzuri boss ledi wetu ni mzungu wa roho.Ndio hivyo mkuu mambo yao yasituumize kichwa![]()
Kwakweli mrudi tuHahahaa
Nipo aisee...ila wote tumepotea sana.
Ngoja turudi sasa
Wadau sijui wamepotelea wapi, mi nipo siku hiziKwakweli mrudi tu