WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Mdogo wako alishaniacha, japo bado ana wivu, basi tutafute mda ili azimio la huyu to yeye lianzie kwetu..
Umeachwa Shem? Mbona sina taarifa?
Na mbona bado jina la mwisho hatujabadili?
Haiwezekani? Nyie ndiyo zenu hizo...Kuzinguana, mkirekebisha Mapenzi yanakuwa kama ya Watoto wa 1st year
 
Hahaha, umenichekesha mno shem, jina la mwisho hadi aende Rita na mahakamani ndio ataruhusiwa kubadili.

Kwa kweli mapenzi yetu yamekuwa hivi toka tukiwa wachumba, hadi naanza kuzeeka huyu hanijulii tu
 
Sasa kumbe mnajijua Shem? Mimi ni nani niingilie? Msubirie tu..Penzi litarudi Mubashara kama kawaida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom