Wanajeshi wa Kenya wa kuruka kwa miavuli wameonyesha ugwiji wao. Mambo ya kushuka kwa kamba tumewaachia wengine.

Kuruka kwa miavuli ni ngumu sana na inahitaji ustadi na ueledi wa hali ya juu. Wanajeshi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu ili kuweza kuruka kwa miavuli na kunyemelea adui nyakati za usiku. Hawa hawafungwi na kamba na kuvurutwa na helicopter kama watu wengine.
huku tumemwachia tembo Harmonize
 
Wacha siasa leta hapa tuone, hao jamaa kidogo wenyu walifunzwa tandem jumps hapo diani, badala matusi, leta hapa paratroopers wenyu tujionee, wakenya hii hapa if you want more nitakuletea

Haujashiba muturaa...ongeza ingine
 
Back
Top Bottom