tunalazimika
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 1,098
- 259
Vituo ving baada ya kulazimishwa kupunguza bei ya mafuta, wameamua kucheza na pump. uwezo wa tanki ya gari langu ni 80lts when empty,
Jambo la kushangaza nimeenda kuweka mafuta nikiwa na takriban 10lts kwenye tanki lakini pump yao ikaonesha imeweka 86lts pamoja na akiba yangu ina maana tanki langu linauwezo wa 96lts.
Baada ya kuwabana sana wafanyakaz, wakahamishia lawama kwa uongozi juu ya mchezo huo mchafu. kwa nia njema kabisa nawatahadharisha ndugu zangu.