Wanajamii forum !

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,051
653
Wanajamii forum huu mwaka tutakutana wapi japo hata tubadilishane mawazo labda utaratibu ulishatoka ila hatuwezi kumaliza mwaka bila hata kukutana kwa kupongezana na kujipanga kwa mwaka ujao.
Ni wazo tu hilo kama kuna taarifa au utaratibu mwingine hope tutajulishana.
Nawasilisha.

  • :hat:
    • :rant:


 
Tukutane Mbande kwenye njiapanda ya kwenda Kongwa. Pale unapata mbuzi mzima hata kwa buku tatu tu.
 
wewe zipuwawa! Ndio nauliza tukikutana zipu yako itakuwa waa? Lol.

Unataka zipu yake iwe waa? Ahahaa husninyo ww! Mnajua kuchombeza tu lakin mkifuatwa mnajifanya kama hamjizui vile,Lol
 
Tukutane Zanzibar, pale kwenye bustani za forodhani, tarehe 7 mwezi wa kwanza mwaka 2012, au tarehe hiyo hiyo pale mji mkuu wa Ukerewe, Nansio Social Hall, hapo ni samaki kwa kwenda mbele huku tukiburudishwa na bendi ya asili, ngoma ya dogoli, wana dunga stejini. Karibuni
 
Unataka tukutane ili iweje?. Kama ni mawaazo ya wanajf unayapata hapa jf unataka kipi kingine?
 
zipu wawaa ,
search katika hizi forum, tafuta neno Chai Day, alafu fanya udadisi utapata maana yake,then utajua kwa nini si wengi wamejibu na waliokujibu wamekufanyia mzaha. wazo zuri sana.na limeleta matunda
 
Back
Top Bottom