Wanahitajika vijana wa kazi ,kansasy city(Marekani)

wanawaingiza mkenge tu, ina maana huko kansas hakuna wasio na ajira wawachukue nyie wa Tanzania.

wanawadanganya wakawafanyishe kazi za ngono
wanawaingiza mkenge tu, ina maana huko kansas hakuna wasio na ajira wawachukue nyie wa Tanzania.

wanawadanganya wakawafanyishe kazi za ngono
nimechat na bibie anasema unemployment rate inakua kwa kasi huko kwao,
na hana habari na kazi kwa foreigners.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Kazi hizo ni:-
-mtunza mazingira wa nyumba(usafi)
-wahifadhi wa mizigo katika godaoni
-supermarket agent
-pizza supplies
-watunza vyumba hotelin pamoja na wahudu, IDADI NI VIJANA 8 TU.

kwa mawasiliano ya boss ni +1 (458) 207-4349 whatsapp.
Ngoja tukomae tuone
 
Back
Top Bottom