Wanahitajika vijana wa kazi ,kansasy city(Marekani)

Mi nimewapa tangazo msenye shida ajikongoje walio vzr tusimike tangazo full stop
 
Mi nimewapa tangazo msenye shida ajikongoje walio vzr tusimike tangazo full stop
Uyu MTU anakurekebishia maisha safi kabisa nilimuokota huko +1 (458) 207-4349


Hiyo ni comment yako kule kwenye uzi wa deep web.
Mbna hausomeki.maana inaonyesha huyu jamaa ulikutana naye huko.
 
Kazi hizo ni:-
-mtunza mazingira wa nyumba(usafi)
-wahifadhi wa mizigo katika godaoni
-supermarket agent
-pizza supplies
-watunza vyumba hotelin pamoja na wahudu, IDADI NI VIJANA 8 TU.

kwa mawasiliano ya boss ni +1 (458) 207-4349 whatsapp.
Hapana,kuna jambo si bure
 
Kazi hizo ni:-
-mtunza mazingira wa nyumba(usafi)
-wahifadhi wa mizigo katika godaoni
-supermarket agent
-pizza supplies
-watunza vyumba hotelin pamoja na wahudu, IDADI NI VIJANA 8 TU.

kwa mawasiliano ya boss ni +1 (458) 207-4349 whatsapp.
Laiti ungejua zile prosess za mahouse girl wakwenda uarabuni hata usingeleta izembe huo uzi hapa
 
Ni vizuri useme na utambulisho kwa yeyote atakayempigia ajitambulishe vipi. Mtu from no where apige tu simu anataka kazi bila kujitambulisha ni wapi ameona tangazo na hizo namba ???
 
Kazi hizo ni:-
-mtunza mazingira wa nyumba(usafi)
-wahifadhi wa mizigo katika godaoni
-supermarket agent
-pizza supplies
-watunza vyumba hotelin pamoja na wahudu, IDADI NI VIJANA 8 TU.

kwa mawasiliano ya boss ni +1 (458) 207-4349 whatsapp.
watu wasije wakawafanyisha kazi za ngono na uasherati watoto wa wenzenu huko, mnawadanganya kuna kazi
 
kuna mama anakaa Kansas nitamuuliza juu ya habari hizi
wanawaingiza mkenge tu, ina maana huko kansas hakuna wasio na ajira wawachukue nyie wa Tanzania.



wanawadanganya wakawafanyishe kazi za ngono
 
Yaani ndani ya miezi 8 tu tangu nawewe ulielie jukwaani kuomba ajira yeyote leo hii nawewe ushakuwa mtoa ajira hahahahah kweli wewe uko kwa (Tramp) boss kila la kheri.
Atakuwa alitapeliwa na yeye anajaribu kumtafuta mnyonge amtapeli.
 
Kuna umuhim gan wa uyo jamaa kuingia gharama ya kusafirisha hao wafanyakaz 8 wkt USA kwenyew kuna mexicans na black americans who are still unemployed ?, it doesn't make sense.
 
Back
Top Bottom