Wanafurahishwa na kitu gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafurahishwa na kitu gani?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ndibalema, Feb 22, 2011.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Pichani: Rais Kikwete na Dikteta Gabgo wa Ivory coast.

  Yaani hadi waandishi wa habari wameduwaa.
   
 2. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Gabgo anafahamu msemo huu ( ukitaka kujua umuhimu wa ****** siku moja kalia kichwa) ndio maana anampokea huyu muungwa kwa furaha kubwa. Ambae mpaka leo hatujui aliongea nini na Kibaki hali ikawa shwali Nchini Kenya.
   
 3. g

  geophysics JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Gagbo aliuliza JK " wewe umepitaje mbona hujanaswana kwako pametulia......maana nimejaribu ya kwako imezua kizaa zaa ndo maana naongozea kwenye hotel.... JK akajibu usimuige tembo kunya maana yeye ni ndoo moja au mbili....wote wakacheka....Uchakachuaji nao mmmhh
   
 4. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamaa alikuwa anampongeza kwa kuchakachua kama yeye!
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  anamtania Gb,huna lolote ulishindwa nn twende huku nikakufundishe.teh teeeh
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,861
  Trophy Points: 280
  JK hata angepata nafasi ya kukutana na Idi Amin andemkumbatia na kuchekacheka
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  I guess the conversation went on this; bwana wewe kweli kichwa kama mimi, I didn't think there could be any african close to my level :)
   
 8. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huyo mwandishi aliyefanana na Obama anawashangaa hawa nyani wawili..haamini wanavyotabasamu wakati raia wanauawa mitaani.
   
Loading...