Wanafunzi wengine hamnazo msikie huyu

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,301
Mkuu anaehusika na wanafunzi wa chuo akiwafafanulia jambo wanafunzi wapya chuoni "ndugu zangu... Bweni la wasichana ni wasichana tu na wanaume ni wanaume tu." Akiendelea kuwaasa "atakae kamatwa mara ya kwanza atalipishwa faini ya elfu 20, mara ya pili elfu 60, mara ya tatu elfu 180." Mwanafunzi mmoja akanyoosha mkono kuashiria anaomba kuuliza swali, aliuliza hivi "je? Ni shilingi ngapi kwa muhula mzima?"
 
huyu atakuwa ni MS kwenye ile skuli ya mwanakwerekwe
 
Back
Top Bottom