Wanafunzi waliofukuzwa UDSM ni mkono wa JK

Jamani huku sasa ni kwenda mbali sana. Pamoja na kwamba tumepewa uhuru wa habari, lakini ni hekima kuutumia uhuru huo kwa mambo ya maana na mambo ya kweli. Jakaya si mtu wa kufanya mambo kama haya hata kidogo. Andikeni vitu vya maana na vyenye kufundisha jamii, acheni kuandika uzandiki, umbea na uwongo wenye nia na lengo la kupotosha umma. Ningekuwa na uwezo wa kumshauri Raisi kikwete ningemwambia aondoe uhuru wa habari haraka sana ili kuokoa jamii kudanganywa kwa habari mbovumbovu kama hizi.

ushuzi na mashudu!
 
JK siyo mtu wa visasi na siyo mtu wa kuendesha ofisi kimajungu na fitina watu hawajamuelewa ndiyo maana wanavumisha kwamba yeye ndiyo alikuwa anamchafua Dr Salim na Sumaye kwa njia za propaganda na magazeti ili aweze kupita yeye kuwa Rais, na wengine wanavumisha kwamba ni mbinafsi anashirikiana na watu katika kufanya maovu lakini akipata tu anachokitaka anakugeuka hata kama itamaanisha uawe au ufe kisiasa kama inavyodaiwa kamgeuka Lowassa, kwahiyo na hisi hata hii wanafunzi siyo kwamba analipiza kisasi na wengine wanaenda mbali kwamba katika kipindi chake swala la udini lipo juu sana kutokana na uwezo wake mdogo wa kuongoza nchi hivyo kuamua kuingiza propaganda za kidini kama defensive mechanism

Hapo nakuelewa, usistaajabu kabla hajaondoka utaanza kuona ili uwe mwalimu wa zamu lazima uwe unasali ijumaa ama sala tano. Kimebaki shule za msingi tu kama sekondari limefika primary kutashindikana nini?
 
me nadhani tusichanganye siasa na masuala ya utendaji.hawa wanafunzi wamefukuzwa na mukandala,hebu tusilaum wasiohusika.Jk amesemwa sana lakini hajawai kulipa kisaSi wala kujibu iweje alipize kwa madent?tuangalie makoSa ya madent b4 kumlaum kikwete.
 
Kuna tetesi zilizoenea huku mtaani na pale UDSM kwamba hii fukuza fukuza ya wanafunzi ni malipizi ya JK baada ya kuzomea alivyoenda kupewa degree ya heshima. Inasemekana Museven alimuuliza JK "hawa wanaokuzomea unawalipia ada?" JK alijibu "ndiyo" Museven aliendelea "ingekuwa Uganda ningewafukuza wote hawa na kudahili wengine"...Je inawezekana JK alifuata ushauri wa Museven? Maana wanaomjua wanadai ni mtu wa visasi sana. Nawasilisha.

Source please....!
 
ni bora wafukuze wanafunzi wote wa vyuo vikuu, yabaki majengo, ili tukajiunge alshabab coz tumejaa makamanda wa cdm
 
JK siyo mtu wa visasi na siyo mtu wa kuendesha ofisi kimajungu na fitina watu hawajamuelewa ndiyo maana wanavumisha kwamba yeye ndiyo alikuwa anamchafua Dr Salim na Sumaye kwa njia za propaganda na magazeti ili aweze kupita yeye kuwa Rais, na wengine wanavumisha kwamba ni mbinafsi anashirikiana na watu katika kufanya maovu lakini akipata tu anachokitaka anakugeuka hata kama itamaanisha uawe au ufe kisiasa kama inavyodaiwa kamgeuka Lowassa, kwahiyo na hisi hata hii wanafunzi siyo kwamba analipiza kisasi na wengine wanaenda mbali kwamba katika kipindi chake swala la udini lipo juu sana kutokana na uwezo wake mdogo wa kuongoza nchi hivyo kuamua kuingiza propaganda za kidini kama defensive mechanism

Mbona umemtetea tu haujatuambia ni nani au yukoje?
 
tuache kama yalivyo kwani kuna sili walio fukuzwa na walio wafukuza nazani kila mmoja anajua nini tatizo
 
hapa nimepata nyingine wakuu, ni kuwa serikali iliyopo madarakani ina hasira na hawa vijana kwani wamekuwa chachu ya kuelimisha wananchi ni kukidhoofisha chama fulani hadi kikapoteza viti vingi bungeni, pamoja na mkono wa J. pia hii ni bakora tosha kwa kukampenia upinzani.
 
Kama wazungu kuzomewa walihuzinika sana na ilikuwa ni silaha pekee, hata kikwete hapendi kuzomewa. Nakubaliana kuwa yawezekana analipiza kisasi kupitia msomi mwenye false consciousness
 
Back
Top Bottom