Wanafunzi waliofukuzwa UDSM ni mkono wa JK

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Kuna tetesi zilizoenea huku mtaani na pale UDSM kwamba hii fukuza fukuza ya wanafunzi ni malipizi ya JK baada ya kuzomea alivyoenda kupewa degree ya heshima. Inasemekana Museven alimuuliza JK "hawa wanaokuzomea unawalipia ada?" JK alijibu "ndiyo" Museven aliendelea "ingekuwa Uganda ningewafukuza wote hawa na kudahili wengine"...Je inawezekana JK alifuata ushauri wa Museven? Maana wanaomjua wanadai ni mtu wa visasi sana. Nawasilisha.
 
hiyo doctorate ya g-str... bado tena aweke visasi, hakunaga kweli kweli
 
Utawala wa UDOM uliwai tamka...."TUTASAFISHA VIJANA WOTE WA CHADEMA" na wakati wanatoa kauli hii hawakusema kama migomo ya vyuo vikuu ni nguvu ya CHADEMA...Tatizo wanafanya kazi kwa kulipa visasi na hii inawabebesha mizigo watu wasio na hatia...Uwezi kukataa ukiambiwa kuwa huu ni mkono wa JK kama wateule wake wanatamka "TUTASAFISHA VIJANA WOTE WA CHADEMA" unategemea nini?
 
Historia itakuja msuta tu.Watu hawana pesa wataishije?Rais kutwa kiguu na njia!!!!Lakini Hawezi laumiwa pekee yake,Prof.wa siasa Mukandara Kuongoza pale kusikohitaji siasa nalo ni Ombwe la kiungozi.Tazama japo hata wakati wa Luhanga kulikuwa na migomo lakini haikuwa so critical to that pointi.Kwangu Mimi hata Mukandara ni JANGA la kitaifa kwa Elimu ya nchi hii!!!!Poleni vijana wezangu mliofukuzwa,Wanasonga mbele kurudisha nyuma elimu yetu.Kama Edward Ngoyai Lowassa ni MCHAFU,basi Jakaya Mrisho Kikwete ndio UCHAFU WENYEWE!!!
 
Mh,
mu 7 alimuuliza pale nkrumah au mlimani city?
Kuna tetesi zilizoenea huku mtaani na pale UDSM kwamba hii fukuza fukuza ya wanafunzi ni malipizi ya JK baada ya kuzomea alivyoenda kupewa degree ya heshima. Inasemekana Museven alimuuliza JK "hawa wanaokuzomea unawalipia ada?" JK alijibu "ndiyo" Museven aliendelea "ingekuwa Uganda ningewafukuza wote hawa na kudahili wengine"...Je inawezekana JK alifuata ushauri wa Museven? Maana wanaomjua wanadai ni mtu wa visasi sana. Nawasilisha.
 
Lakin rwekaza anatekeleza maagizo tu,ushkaj ndo unapoleta athar
Historia itakuja msuta tu.Watu hawana pesa wataishije?Rais kutwa kiguu na njia!!!!Lakini Hawezi laumiwa pekee yake,Prof.wa siasa Mukandara Kuongoza pale kusikohitaji siasa nalo ni Ombwe la kiungozi.Tazama japo hata wakati wa Luhanga kulikuwa na migomo lakini haikuwa so critical to that pointi.Kwangu Mimi hata Mukandara ni JANGA la kitaifa kwa Elimu ya nchi hii!!!!Poleni vijana wezangu mliofukuzwa,Wanasonga mbele kurudisha nyuma elimu yetu.Kama Edward Ngoyai Lowassa ni MCHAFU,basi Jakaya Mrisho Kikwete ndio UCHAFU WENYEWE!!!
 
Hili suala la vyuo vikuu ni janga la kitaifa, inabidi viongozi wa serikali wachukue hatua za haraka kurejesha hali ya amani vyuoni. La sivyo muda si mrefu tutaingia katika machafuko maana hao vijana wanaosumbuliwa vyuoni wakiamua kuingia mtaani nchi haitatawalika tena.JK inabidi aache tabia zake za visasi kama ni kweli analipiza kisasi.
 
Tatizo vijana wa chuo siku hizi zaifu sana. Wenzao wamefukuzwa, wao eti leo wameingia darasani.
Hiki kizazi ovyo kabisa. Msiwasaliti wenzenu pamabaneni!!!!
 
Mvunje vioo vya magari ya waganga njaa wenzenu walioungaunga kuanza biashara, muharibu mali za chuo na muumize watu muachiwe ili tu muanzishe zengwe la siasa msiguswe! Hakunaga mambo haya, wenzenu tulikuwa na kunji za maana hakivunjwi kitu wala kuumia mtu na madai yanatekelezwa.
Mbona Zito alikuwapo kwenye kunji za ukweli si mjifunze kutoka kwake.
 
serikali ya kifisadi,kandamizi,ya kiuaji,nyonyaji wanashindwa kushindana na CDM kwa sera ina kandamiza demokrasia.aibu
 
Kuna tetesi zilizoenea huku mtaani na pale UDSM kwamba hii fukuza fukuza ya wanafunzi ni malipizi ya JK baada ya kuzomea alivyoenda kupewa degree ya heshima. Inasemekana Museven alimuuliza JK "hawa wanaokuzomea unawalipia ada?" JK alijibu "ndiyo" Museven aliendelea "ingekuwa Uganda ningewafukuza wote hawa na kudahili wengine"...Je inawezekana JK alifuata ushauri wa Museven? Maana wanaomjua wanadai ni mtu wa visasi sana. Nawasilisha.

Hapa wala hakuna mkono wa JK, hawa vijana walaumiwe wenyewe kwa kutumikishwa na wana siasa kwa manufaa yao wenyewe, sasa huo ndio mshahara wa kutumikishwa na wajilaumu wenyewe kwa ulemavu wa fikra zao .

Na BUKOBA kuna wafunzi 5 wamefukuzwa shule walihudhuria kongamano liliandaliwa na CDM wamefukuzwa hii serikali ni nuksi
 
Ila museven anachoshangaa ni kipi?
Hata yeye na Maghembe walilamba zomeazomea hapohapo nkrumah!

wangekuwa wanajiuliza kwanini wanazomewa wangepata suluhisho. Wanasahau kwamba ujasiri ni suala la wakati, wakati ukifika huwa hakuna vizuizi.
 
Kuishi bila stahiki zao ni kusukumwa na wanasiasa! Mbona wabunge wanadai posho kutokana na maisha kupanda. Wao wanasukumwa na nani? Suala ni kutafuta kiini cha tatizo mwisho wa siku wanaenda kuunda genge la kuwafungia watu wawafundishe kuvuta bangi kama pakstan. Nje inajulikana kama madrasa. Sie yetu macho.
 
Kuna tetesi zilizoenea huku mtaani na pale UDSM kwamba hii fukuza fukuza ya wanafunzi ni malipizi ya JK baada ya kuzomea alivyoenda kupewa degree ya heshima. Inasemekana Museven alimuuliza JK "hawa wanaokuzomea unawalipia ada?" JK alijibu "ndiyo" Museven aliendelea "ingekuwa Uganda ningewafukuza wote hawa na kudahili wengine"...Je inawezekana JK alifuata ushauri wa Museven? Maana wanaomjua wanadai ni mtu wa visasi sana. Nawasilisha.
JK siyo mtu wa visasi na siyo mtu wa kuendesha ofisi kimajungu na fitina watu hawajamuelewa ndiyo maana wanavumisha kwamba yeye ndiyo alikuwa anamchafua Dr Salim na Sumaye kwa njia za propaganda na magazeti ili aweze kupita yeye kuwa Rais, na wengine wanavumisha kwamba ni mbinafsi anashirikiana na watu katika kufanya maovu lakini akipata tu anachokitaka anakugeuka hata kama itamaanisha uawe au ufe kisiasa kama inavyodaiwa kamgeuka Lowassa, kwahiyo na hisi hata hii wanafunzi siyo kwamba analipiza kisasi na wengine wanaenda mbali kwamba katika kipindi chake swala la udini lipo juu sana kutokana na uwezo wake mdogo wa kuongoza nchi hivyo kuamua kuingiza propaganda za kidini kama defensive mechanism
 
Back
Top Bottom