Wanafunzi waislamu watangaza maandamano!

hongera TAMSYA kwa maamuzi muliyochukua. mafanikio yatapatikana inshaallah. Ingawa mna maadui wengi katika hili ndani ya JF msijali songeni mbele. Lakini sishangai JF wengi wao ni chadema na chadema = kanisa.

Twisted logic this! Kwani JF imewazuia kuandamana? Uadui huu unaotuambia ni upi?
 
hongera TAMSYA kwa maamuzi muliyochukua. mafanikio yatapatikana inshaallah. Ingawa mna maadui wengi katika hili ndani ya JF msijali songeni mbele. Lakini sishangai JF wengi wao ni chadema na chadema = kanisa.

Mkiambiwa ukweli mnaruka hoja, vipi utakuwepo kwenye maandamano??
 
hata mimi niliipata hiyo toka kwa mwanafunzi wa UDOM kumbe kweli,dah nasikia uislam huko Udom noma.

Sio UDOM tu, hata Mkwawa uchaguzi wa mwaka jana udini ulitawala ila kama kawaida wakushinda wakashinda ila chuo kimepiga marufuku mabishano ya kiimani chuoni hapo ili kuepusha uvunjifu wa amani.
 
Hapo sasa_natafuta quran ya kiswahili ili nianze kuisoma nijue kuna nini ndani yake,maake asilimia kubwa ya waumini wa dini hii wanapenda kulalamika na vurugu,........inawezekana kuna mafundisho yanayochochea hivi vitu,.........help plz kwa yeyote mwenye nayo.
"....................... Na tumekuteremshia Kitabu hiki (Quran) kinachobainisha kila kitu, na ni uongofu, na rehma, na bishara kwa Waislaam. Quran: An Nah'l 89.

" Hakika Mwenyezi Mungu anaamrisha kufanya uadilifu, hisani, na kuwapa jamaa; anakataza uchafu, na uovu, na dhulma. Quran:An Nah'l 90.
 
walifikiri na uendashaji wa shule ni kama NSSF walivyoisilimisha. waende wakashtaki kwa kuu la udini au kwa Maghembe, Kapuya, Mlacha,Kikula, etc
 
mbona jamhuri secondary school mimi dada yangu kasoma pale ni mkristo na alikiwa akivaa hijab kama mwislam na wanafunzi wengi tu wa kike wanavaa hijab lakin hawalalamiki na wala hawana kinyongo
 
What is so special with this religion? Mbona dini ziko nyingi tu hadi zile za kishetani. Vijana someni acheni kujibagua kwa misingi ya dini yenu eti. Msifikiri mnatendewa isivyo bali ni mfumo tu ulioanzishwa na mababu zenu ambapo hawakujali shule kama ninyi msivyojali sasa. Matokeo yake mnadai wakuu wa shule ni wakristu . Iwapo mtaendelea na mawazo finyu namna hii walah hamtakaa muone mwanga . Wako waumini wenzenu ambao kazi yao ni kuwahadaa msisome ili muwe kama wao. Shauri yenu
 
Waziri wa elimu ni Alhaj Jumanne Magembe, katibu mkuu ni Alhaj Hamis Dihenga, napita tu, nitarudi baadae.
maandamano ni lini lakin msije muita yule jamaa wa pale magogoni na yeye anatumia mfumo kristu..
 
mimi nipo udom ushahidi wa cd upo ambapo waislam wa hapa chuoni waliongea kuhusu jihadi yakuwa lazima udom iongozwe na saislamu nzkatikz kupitisha majina ya wagombea walipitishwa waislam tuuu, likagundulika uchaguzi ukaharibika uliporudiwa tena nawagombea wakiwa mchanganyiko waislamu kwa wakristo wakristo waliwapigia wakristo na waislam waliwapigia waislam ,sababu waislamu walisha tangaza jihadi na wakristo walitumia roho mtakatifu ,pia waislamu walifanyz vurugu na kumpiga kijana mkristo nusura ya kufa polisi wanajui hiliii.....
Hawa jamaa wanapotoa hoja zao wajaribu kuwa wakweli, wamesahau kuwa hapa Udom tatizo ni wao kutaka kueneza mfumo "islam'' kwa nguvu, tatizo hawafanyi research kabla ya kukurupuka, ndo maana wanashauliwa wasome kwanza kuliko kuongea na kuandamana kwa jazba.
 
wanadeka tu hao watoto, kusoma hawasomi, miziro inawaandama , kelele kila kukicha ..lol
 
Kuna mtu aliyechangia hapa muda mrefu uliopita kuwa sehemu za Tanzania zilizo na waislamu wengi waachiwe Waislamu, na sehemu zilizo na Wakristo wengi ziachiwe wakristo yaani kuwe na aina ya utawala wa majimbo akapuuzwa!
Hata Mwanakijiji aliliashiria hili kwa namna fulani akaonekana kapotea.
mnaona sasa?
 
Tuondoe ushabiki katika hili kwani sote tunajua wajibu wa dini katika kumuandaa raia mwema. Viongozi wetu wakikwama huenda kuomba msaada kwa viongozi wa dini zote wazungumze na waumini wao ili kurejesha utulivu na hata moyo wa huruma. sasa ubanaji wa fursa za kumuandaa raia huyu kimaadili, tatizo litakuja kuwa kubwa kiasi cha kuondoa utulivu na ubinadamu katika mfumo mzima wa maisha uraiani.
Wito wangu ni kuwa sote ni warithi wa mafundisho haya, hatujawahi kuulizwa mnataka dini ipi, mmezaliwa na kuchaguliwa dini ya kufuata na hata mlipokuwa mmekuwa watetezi wa kitu manachokiamini (jambo zuri) lakini tujali na nafasi ya wengine wanaotofautiana nasi kwa kuwa wanahoja na nafasi ya kutenda kile wanachokiamini.
Viongozi wa dini zote wakemee ubaguzi huu kwani utajenga taifa lenye mpasuko wa mambo mengi. Niainishe machache ambayo ni ugonjwa kwa sasa
  1. Tuna ubaguzi wa kikabila na koo
  2. Ubaguzi wa kikanda (Bara, Unguja na Pemba) (kusini, kaskazini, Mashariki na Magharibi)
  3. Mpasuko wa kimapato
  4. Mpasuko wa siasa (ndani ya vyama na baina ya vyama)
  5. Ubaguzi wa jinsi.
Usiombe kubaguliwa na ukakosa mtetezi, moyo unasononeka sana na hasira hujengeka kwa kasi kusababisha uvunjifu wa amani. Taifa letu halitaendelea kwa hali ya chuki baina yetu. Kila mtu ni muhimu kwa nafasi yake na tunahitaji kuheshimiana
 
"....................... Na tumekuteremshia Kitabu hiki (Quran) kinachobainisha kila kitu, na ni uongofu, na rehma, na bishara kwa Waislaam. Quran: An Nah'l 89.

" Hakika Mwenyezi Mungu anaamrisha kufanya uadilifu, hisani, na kuwapa jamaa; anakataza uchafu, na uovu, na dhulma. Quran:An Nah'l 90.

thanx God nimeipata ya kiswahili,ntaisoma ili nijue kilichomo,.....................then i will come back!
 
Back
Top Bottom