Wanafunzi waislamu watangaza maandamano!

Malalamiko mengine ya kipuuzi sana kama wanalalamika wakristo kusoma bible knowledge ijumaa wakati wao wanakwenda kuswari kwani kuna mwislamu anafanya mtihani wa bible knowledge? Pili unaweza kufananisha vipi uvaaji wa rozari kwa wakristo na kanzu, barakashia kwa waislamu? Tatu tatizo liko wapi kwa mwanafunzi kuvua hijabu kwa dakika3 ili apigwe picha kwa ajiri ya form za shule mbona huwa tunawaona wakiwa hawana hijabu mitaani baada ya masomo.
 
Je unaweza kumvua kilemba chake Sister wa kikatoliki dakika moja ili kumpiga picha?

Je unaweza kumvua kilemba singasinga sababu ya kupiga picha?

Ni picha gani hiyo?

Waislamu wanafanya Islamic Knowledge. Na wengi tulifanya. lazima wapewe muda maalum na kipindi maalum kama wafanyavyo wa upande wa pili.

Back
Top Bottom