Wanafunzi wa kike wa UDSM.......


Mhhhh....sidhani kama kuna ukweli katika hili....we ninani hadi utongozwe na wanawake watano???
jamani.....
 

Asante ndugu maana ni kama anajitapa masters? yeleuwiii

Acha midadi
 

Mkuu kama vipi wape hyo simu kuondoa usumbufu
 

Uliwapa hiyo namba?
Kwanini wewe?
Walipokuomba nini uliwanasihi?
 
Mimi ndo nimechanganya au? Hivi COET kuna block ya kujipumzisha kweli! Block P?
 
Kp calm mkuu hayo mambo yapo,yalikuepo na yataendelea kuepo! Cha msingi timiza wajibu..soma,maliza usepe kwako! Waache watu na fursa zao, asa unataka wakale wapi jaman!
 
Hiyo Master yako hakika unaweza kujikuta unafeli kama umeenda kuwa chunguza watu wazima waafanya nini?
 
Kwa hiyo kuwa na number ya simu ya mtu tayari unamtaka kimapenzi?
 
......kabla ya COET hapana sehemu ya KUCHEPUKA?
 
Mkuu hapo kwenye rangi nyekundu hapo nadhani pia ni chanzo, maana inaonekana utakuwa unaweka mazingira mwenyewe. Kwa level yako hutakiwi kupumzika hapo, ni kusoma tu, kapumzike UDASA, HILPARK, COET STAFF CAFETERIA n.k
Mtua ataendaje kujipumzisha darasani ??? Anatafuta nin wakati wenzake wanasoma?? Huyu anaenda kutega tu....kapumzike UDASA au uwanjani kule.....
 
Mkuu huyo jamaa ni MHAYA na alitaka kuwajulisha wana jf kwamba na yeye anasoma Masters UDSM. Si unajua tena WAHAYA wanavyofikiri kuwa Masters is a big deal while it is as good as a graduate.

hahahahaa.... Ugomvi huo..
 
Kula mizigo dogo Acha kulalama jamvini hapa. Watu wanatafuta hizo bahati inawezekana una kismati
 
Acha uoga wewe. Gegeda watoto wa kike haooo
 
Washitakie kwa mzee punch watakoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…