Wanafunzi wa kike wa UDSM.......

Kawaida yao sana watoto wakike ni majanga muda fulan yaan wanajirahisisha mno mie nina rafiki yangu wakike yeye huwa ana niweka waz kuwa nataka kuchuna mtu saiz akija ofisn huwa ananambia kuwa atakae jileta kaenda na kwao mambo safi sio yakishamba maisha safi lakin aridhiki
 
Wakati wetu walikuwa wanajiheshimu sana wapi waziri wa.............ile room yenu ilikuwa maarufu sana kwa Unyunyu.
 
Kawaida ya wanachuo now days coz mi niliona cm ya fiance wangu eti anamwambia sa ukinichunia unategemea mi ntaishije niliishiwa tu pozi yaan inaonyesha kabisa wako kipesa zaidi sasa wanaume kazi kwenu.......
 
Kawaida ya wanachuo now days coz mi niliona cm ya fiance wangu eti anamwambia sa ukinichunia unategemea mi ntaishije niliishiwa tu pozi yaan inaonyesha kabisa wako kipesa zaidi sasa wanaume kazi kwenu.......

ulivoona ulifanyaje maana inaonekana ur fiance anahudumia
 
Chakula cha hapo kitamu sana wala sio wasumbufu tuendako tutakuja kupata wabunge wauza k
 
JJB,kutowaambia huko na kuja hapa kukashifu wanafunzi wa kike wa UDSM ni kukosa ujasiri na kujiamini.Kama wewe ni mwananume usiyekubaliana na hilo,waambie huko huko.Ifikie mahali,msilete ajenda zenu za kitoto hapa.Unataka kuchafua sifa ya UDSM? Kuwa makini kijana

Mzee Tupatupa
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo maana yakimaliza yanaanza kukodoa macho eti nahitaji mwanaume material anioe,nani akuoe wewe kama ni soda hata gesi ilishaisha.Hayo mishipa ya aibu ilishakatika pole mkuu.
 

Mzee punguza jazba mkuu,
nimeshawambia sana mpaka nimechoka, ila nimeona ni vyema kuweka hii mada hapa as nina uhuru wa kufanya hivyo.

Sifa ya UDSM ipi hiyo itakayoharibika?
 
Last edited by a moderator:
It is College life & Campus at large,just concetrate with ure busy schedule and forget about ladies
 
kumbe fursa zipo....

ngoja nitoke UDBS mara moja niweke kijiwe CoET!

naona hapa CONAS na UCASS haya mambo hayapo! lols!
 
Zingatia kilichokupeleka

Hao wapo hawatoisha
 

Hilo la kuombwa hela na no ya simu sina hakika but hilo la kujitongozesha napata ukakasi kidogo.

Mana nyie watu mnaotongozaga afu hamkubaliwi ni wepesi sana kusemaga watu wanawatongoza nyie(wanaume). Mkionaga hampati watu kila kukicha kazi yenu kujisifiaga tu mnatongozwa..... Yaaakkkhh.

Get a life
 
Hivi UDSM kuna jumla ya wanafunzi wangapi wa kike? Je wanafunzi sita (6) waliokuomba pesa wanatosha kuwakilisha wenzao wote kukupa uhalali wa kuwaita wote kuwa wana tabia chafu? Nimeuliza haya kwa sababu umetuambia wewe ni msomi wa masters na nilitegemea una uelewa wa kutosha wa mambo ya research kuepuka stereotyping na generalizations.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…