Hicho chuo kimesajiliwa kwa mrengo wa kudahili wanafunzi wa kikiristo pekee?Chuo kinamilikiwa na kanisa, ya nini kuingiza tamaduni za kiislam ndani ya ukristo? Vyuo viko vingi hao wanafunzi waislam wakasome huko wanakovaa ushungu.
Chuo kina dressing code yake msing'ang'ane na shuni zenu vaeni wanavyotaka wenye chuo
Yap wanazitumia kuficha nyoka aka snake 🐉Vyuoni hulazimisha kuvaa hadi wakati wa mtihani kwani huficha vibomu na wengine hufanyiwa mtihani hususani wavaa Juba au nikabu zile zinazoficha hadi sura. Nilimshuhudia mmoja SUA 2006 nilipokuwa nasoma pale.
Nje ya mada, huyo kwenye picha ya mleta uzi ndio mleta uzi mwenyewe au?
Ufaransa walipiga marufuku niqab sio kuvaa nguo za stara. Ushungi na baibui unavaa kama kawaida isipokuwa kufunika uso kama ninja.Wazuiliwe tu hata ikiwezekana wapigwe marufuku kujifukiza bila kupenda jua lote hilo na miguo myeusi utadhani majini ya mayele!
Ufaransa walishapiga marufuku hiyo minguo
Wala haichekeshiIkitokea sehemu ya waislamu ikakataa mavazi yao ,hilo balaa lake 😁😁😁wala nguruwe utasikia sijui Mung anaangalia moyo.
Hapo wanatetea eti kwa vile Sheria za kikristo...kama hamruhusu basi toeni na lile sanamu lililovaa hijab pale
Hili sanamu mulitoe kabisa maana limevaa hijab😅😅👇
View attachment 2919690
Unailaumu kwanini? Unataka watoto wasifurahie uhuru wao wa imani kwa mujibu wa katiba?Mimi bado mpaka leo nailaumu Serikali kwa kuruhusu vazi la Hijab kwenye shule za msingi na sekondari! Kwenye vyuo sina tatizo maana pale ni watu wazima wana uhuru wa kuchagua!
Kasomeni kwenye vyuo vyenu binavyoruhusu hayo mavazi👌Ufaransa walipiga marufuku niqab sio kuvaa nguo za stara. Ushungi na baibui unavaa kama kawaida isipokuwa kufunika uso kama ninja.
Halafu usilazimishe dada zetu wavae uchi kama dada zako wafanyavyo hadi makanisani kwa kisingizio cha jua kali.
Mwenyewe nashangaa mkuu utadhani walienda kwa mtoa mada kumlalamikia.Hizo ngou wanavaa wao ila joto unasikia wewe. Ajabu hii
Ni chuo cha masista pekee ama kinachopokea wanafunzi wa imani tofauti?Pumbavu kabsaa chuo cha kanisa mnaleta Mambo yenu ya kiislam mpeleke MUM kule morogoro
Mbona pale MUM mnalazimisha kila msichana kuvaa hijab?
Chuo hakitak hayo mango basi tafuta chuo kingine
Mijitu mijinga
Kuvaa mini skirt mapaja nje ndiyo stara?Kuvaa stara ndio maana yake nini? Kujifunika mashuka mchana jua kimewaka?
Kwamba ambao hawajifuniki mashuka wao wanatembea uchi?
Hizi dini zimepumbaza sana watu.
Wewe mtu akivaa min sket kinakuumiza kitu gani?Kuvaa mini skirt mapaja nje ndiyo stara?
Picha za sanamu makanisani za Maria zote amevaa vazi la stara/hijabu.Wala haichekeshi
Si muwashauri wakasome kwenye vyuo vyenu vya kiislqm vya afya,au hamna vyuo hivyo?
Mna madrasat tuwatoto wa mudy mna laana.
Ufaransa nadhani ilikuwa sababu za kiusalamaWazuiliwe tu hata ikiwezekana wapigwe marufuku kujifukiza bila kupenda jua lote hilo na miguo myeusi utadhani majini ya mayele!
Ufaransa walishapiga marufuku hiyo minguo
Toeni sanamu maana roho inawasuta 😅😅😅.Wala haichekeshi
Si muwashauri wakasome kwenye vyuo vyenu vya kiislqm vya afya,au hamna vyuo hivyo?
Mna madrasat tu 🤣🤣watoto wa mudy mna laana.
Bado wanalisujudia sanamu hilo ,lile sanamu limefanya mpaka Rais wa Italy agome kukataza Hijab maana linamsuta .Picha za sanamu makanisani za Maria zote amevaa vazi la stara/hijabu.
Halafu mnataka mabinti zenu wavae mini skirt mapaja nje nje kutamanisha vidume.
Kila kitu kina taratibu zake! Ziheshimiwe...!!!Habari,
Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Watataka Chuo kiwaruhusu Majuba, Kisha watataka Wajengewe Msikiti hapo hapo Chuoni...Kisha watataka Ijumaa isiwe siku ya Masomo kisha watataka Wakati wa Mfungo Mchana Kusiwepo Chakula Chuo chote Kisubirie Futari! Watataka Mida ya Swala Masomo Yasimamishe....... watataka weee wataka weee.....Chuo Kizima wote wawe WaislamChuo kina dressing code yake wafuate sheria sio kila jambo ni la kulalamika
Kuandika hujui unalilia kuvaa stara. Hebu boresha ujuzi wako wa kuandika kwanza.Habari,
Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Dini ya mazombie hiiWatataka Chuo kiwaruhusu Majuba, Kisha watataka Wajengewe Msikiti hapo hapo Chuoni...Kisha watataka Ijumaa isiwe siku ya Masomo kisha watataka Wakati wa Mfungo Mchana Kusiwepo Chakula Chuo chote Kisubirie Futari! Watataka Mida ya Swala Masomo Yasimamishe....... watataka weee wataka weee.....Chuo Kizima wote wawe Waislam