Agenda yenye nguvu ni kwa Malkia ana wakilisha white supremacyHili sekeseke la kutaka picha iondolewe wala halijaanza leo, nakumbuka pia 2016 kipindi nipo chuoni hapo liliwahi ibuliwa na nshu wala siyo ukoloni, kuna ajenda nyingi tu nyuma yake.
πππππUlinyanyasika sana na kupuuzwa sana hadi chura ukazitazama kwa huzuni.Sisi huku Tanzania tulishaondoa za Magufuli kwa sababu zilikuwa zinawakilisha ukichaa.
π€£π€£π€£Rafiki hata chai haijaiva tangu umerudi , utapigwa ban nyingine.
Kumekucha!Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza wamepiga kura Kuiondoa picha ya Malkia katika majengo ya chuo chao kwasababu inawakilisha ukoloni-Manchester Evening News
View attachment 1813190
Moja ya wachangiaji anasema Malkia pia Mkuu wa Jumuia ya Madola ni alama ya wachache wanaojiona bora kuongoza wengi duniani.
Isitoshe hao wasomi wa Oxford ndiyo wanaowafundisha historia kule walikoiharibu historia yao.
Kayafa anaongoza malaika sasa.Sisi huku Tanzania tulishaondoa za Magufuli kwa sababu zilikuwa zinawakilisha ukichaa.
Wote wasome hapa halafu wainue viuno warudi makwao π€£π€£π€£π€£Chuo chenyewe kimejengwa kwa fedha za utumwa na ukoloni, hivyo, kama wanataka kupinga historia ya utumwa na ukoloni, kwanza wajiondoe chuoni.
Otherwise ni mambo ya "Baniani mbaya, kiatu chake dawa"
Nchi nzima imejengwa kwa misingi ya utumwa na ukoloni, leo unaenda kulalamikia picha ya Malkia.
Kama si unafiki ni nini?
Malaika nao hawamtaki!ππ€£π€£π€£Kayafa anaongoza malaika sasa.
Wanamtafutia sababu tu.Poor him!πMalaika nao hawamtaki!ππ€£π€£π€£
View attachment 1813757
Hii issue imekaa kimtego, wakukubali kutoa picha kinachfuatia watahoji umuhimu wa familia ya kifalme katika sasa hivi.Noti za fedha za Uingereza zina picha ya Malkia, wametaka picha ya Malkia iondolewe kwenye fedha pia?
Au fedha wanatumia tu lakini wanashikia bango picha?
Ukishakubali kwenda kusoma Oxford umeshakubali mfumo ulioiweka Oxford.Hii issue imekaa kimtego, wakukubali kutoa picha kinachfuatia watahoji umuhimu wa familia ya kifalme katika sasa hivi.
Mabadiliko hayawezi kutokea haraka. Angalau wanaishi kwenye nchi inayotuhusi maoni na vijana wameonyesha ujasiri wao.Ukishakubali kwenda kusoma Oxford umeshakubali mfumo ulioiweka Oxford.
Wanachofanya hapo ni sawa na mbunge kuhoji uhalali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.