Ufalme ni alama muhimu sana katika utamaduni wa waingereza na ndio chanzo cha wao kujiondoa hata kwenye EU ili waendelee kudumisha utamaduni wao.
Wanaopinga ufalme katika Uingereza ni wachache tu ukilinganisha na wanaounga mkono ufalme ila tu ni kwamba huko, tofauti sana na huku kwetu, hata watu wanaopinga fikra za wengi mawazo yao huheshimiwa.
Waingereza bado wanathamini mno utamaduni wao na ufalme ni sehemu ya huo utamaduni.