Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,270
- 105,440
Wangejikita kuuondoa Ufalme kwanza.Mabadiliko hayawezi kutokea haraka. Angalau wanaishi kwenye nchi inayotuhusi maoni na vijana wameonyesha ujasiri wao.
Dunia imebadilika, zamani noble families waliona wenyewe lakini sasa hivi huhitaji kuwa wa noble family kuwa tajiri. Unaweza kuwa actor na celebrate mwenye pesa kuliko nobles.
Kutaka kuondoa picha ya Malkia, mtu ambaye ni Head of State, chuoni, ni kichekesho.
Wakiuondoa Ufalme kama walivyofanya wenzao Wafaransa, hiyo picha ya Malkia itaondolewa chuoni mpaka kwenye noti.