Wanafunzi: Tangazo Maalum | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi: Tangazo Maalum

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Field Marshall ES, Oct 17, 2008.

 1. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Wakuu wote heshima mbele, nilipokuwa Dar-Maritime School, au shule ya meli, niliwahi kufundishwa na Mwalimu, Professor Lwiza Kamazima ambaye sasa ni mwalimu baabu kubwa sana huko majuu, yeye pia hujishughulisha sana kuwasaidia sana vijana wa kibongo wanaotaka elimu, sasa amenitumia hila tangazo kwa wote, naomba vijana mliangalie kwa makini na muwasiliane naye mkiweza,

  Professor Lwiza, respect na Mungu akuzidishie maarifa na uwezo wa kusaidia wananchi wasiokuhusu, that is Godly:-
  Mods naomba iwasaidie vijana wetu na iki-expire muipeleke inapotakiwa.


  Wazee wa Radio station ya FMES, Sauti Ya Umeme!
   
 2. O

  Ogah JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  FMES,

  ....kazi nzuri mkuu wangu.......weka mavitus mwanangu........watu wachangamkie
   
 3. Brutus

  Brutus Senior Member

  #3
  Oct 17, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 174
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hizi ndo habari Mkuu FMES!
   
 4. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Heshima iwarudie wakuu, I mean kama unaweza mpenyezee mwananchi wmingine hii kitu maana ni for real, kwa sababu hata mimi nilijisomesha kupitia hiyo hiyo system ya Suny-Education,

  Sasa kwa wale vijana ambao hamna ujanja zaidi tuwasiliane ili tuwape ujanja wa kuingia hiyo system kama resident, kwa sababu bila hivyo utalipa hela nyingi sana ambazo niaamini kuwa na wewe ni kama mimi huna,

  Hii system ina shule zingine kama:

  City College, Baruch, Hunter College, Lehman College, lakini Stonybrook ndiyo kiboko ya zote, sasa tuwahabarisheni vijana wetu kwa sababu kwa dola $ 2,175 unaweza kujisomesha mwenyewe kama nilivyofanya bila kusumbua wazazi. Mimi nilikuwa ninaenda kazini saaa 8 usiku mpaka saaa tano asubuhi, College saaa tisa mpaka saa nne usiku, hakuna excuse hapo kwa sababu mwisho wa mwaka serikali ya US inakupa tax break na kukurudishia hela zote ulizolipa shuleni kwenye ku-file taxes, kwa hiyo inakua even hujapoteza anything tena ni wewe mwanafunzi ndiye unayekwua ume-gain sana, maana umepata elimu na hela zako back!

  Haya sasa tuwaahabarishe vijana wa kibongo wachangamkie!

  Ahsante Wakuu!
   
 5. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu shukarani.Hebu niambie kwa mtu aliyeko huku Bongo anafaidikaje?How can he/she Explore it?
   
 6. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kuna kuihamisha tena? Dah!
  Nataka niwape watu hii link, labda nisubiri kwanza?


  Hili la kuhamisha thread sio mara ya kwanza kuliona, maana yake nini hasa? (Swali kwa MODs)
  Ina maana kuna watu hawafungui jukwaa jingine isipokuwa la siasa? If that is the case then something is wrong here!


  Asante Field Marshall ES kwa hizi habari.
  .
   
 7. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Mkuu heshima yako, labda wewe sijakuelewa vizuri, lakini ninaamini kuwa nimemuelewa vizuri mtoa tangazo Professor Lwiza, ingawa hakuenda deep kwenye tangazo lake la msaada kwa vijana wa kibongo wenye njaa ya elimu ya juu,

  Mimi nimejaribu kwenda deep kidogo, kwamba hapa the deal ni kwamba ni kutafuta mbinu ili uweze kusoma hapo kama resident, sasa kama ninakupata ni kwamba huwezi ku-apply kutoka huku bongo halafu ukafanikiwa kusoma kama resident wa County iliyoko hii shule,

  Lakini ninaamini kuwa ukiwa bongo, unaweza kuwasiliana na Professor Lwiza akaweza kukusaidia kupata mipangilio ya kusoma huko ma-US, ikiwa ni pamoja na kupata viza ya shule huko,

  Wito wangu kwa wanafunzi wote wenye nia ya kujiendeleza, ni vyema ukawasiliana na Professor Lwiza, kwa sababu huyu mkulu ni mtu straight na asiyekwua na mchezo, na hamung'unyi maneno, atakwambia ukweli kama ulivyo as what he can do kukusaidia au kutokusaidia.

  Ahsante Mkuu.
   
 8. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2008
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Mkuu heshima yako.
  Mimi naomba nikuulize maswali ya uchokozi kutokana na experience uliyoipata

  Mkuu wangu unaingia kazini saa 8 usiku unatoka saa tano asubuhi na unaingia shule saa tisa mchana mpaka saa nne usiku.Sasa mkuu masaa ya kujisomea na kupiga usingizi yalikuwa yanapatikana je? mkuu.

  Harafu unaweza ingia ndani zaidi kwa kutueleza mfano masomo fulani yana lecture masaa mangapi? tutorial masaa mangapi na lebo masaa mangapi kwa week?.Samahani kwa usumbufu.

  ILA kwanini watu wasisome tu udsm mkuu wangu?
   
 9. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  1.
  Heshima mbele mkuu, kwanza ukisha ingia nchi za watu na wewe lazima ubadilike bro, between saa tano mpaka saaa tisa ni masaa manne ni mengi sana ukiingia hayo maisha ambayo kichwani mwako ni lazima ujiwekee kuwa ni ya temporary kwa ajili ya kutafuta elimu,

  Halafu si kwamba unafanya hayo kila siku, kwa sababu kwa credit 15 per semester, unakuwa unaenda namna hiyo mara tatu au nne kwa wiki kwa hiyo una muda wa kutosha sana kufanya homework, ambayo ndio hasa uti wa mgongo wa elimu ya US, na week end yote ni kulala Library,

  Then yanakuja masuala ya kichwa, kama hakiko sawa then huwezi haya mambo mkuu maana utaishia kuchekesha huko kwenye madarasa ya nchi za watu


  2.
  Masomo karibu yote niliyosoma lecture ilikuwa karibu masaa matatu, kwa hiyo saa tisa mpaka saaa tatu na nusu usiku ni lecture za madarasa mawili a night, hizo ni credit sita mkuu per semester, na mengine yote yanategemea na darasa na mwalimu wa darasa kumbuka hata waalimu wenyewe wanajua kua wananufnzi wa madarssa haya ya jioni ni wafanyakazi period na hata wao pia wamekuwa wakifundisha shule kama mbili au tatu kwa siku, kwa hiyo kunakuwa na considerations flani katika ku-deal na time na madarasa yenyewe in general.

  3.
  Unafikiri ni kwa nini watu wasisome majuu kama nafasi zipo? Again my point ni kwamba unaweza kujisomesha nje na ukaweza kuyamudu maisha vile vile bila kulipiwa na wazazi kama wengi wanavyoamini, mimi darasani nimesoma na Wa-Nigeria waliokuwa wanaendesha taxi usiku kucha bro na wala hakukuwa na tatizo lolote.

  Ashante Mkuu.
   
 10. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,705
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Pamoja na nia nzuri ya aliyeleta hii habari, siasa iko wapi humu? Si kuna jukwaa la elimu?
   
 11. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Mods naomba iwasaidie vijana wetu na iki-expire muipeleke inapotakiwa.
  Wazee wa Radio station ya FMES, Sauti Ya Umeme!
   
 12. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2008
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  safi sana mkuu dawa ndio hii vijana wakomboke kielimu, watu wanawaza watapata wapi masaa ya kulala, wadogo zetu wajue kuwa sacrifices ni muhimu kwa maendeleo unajiminya muda mchahce ili lengo litimie; Asante FMES, keep posting mor oportunities.
   
 13. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2008
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi huu mzuri sana
   
 14. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Wakuu heshima mbele sana, tunajaribu kuhabarishana opportunities na mimi binafsi ninawaheshimu sana waalimu wawili huko New York, yaani Proffesor Lwiza na Prof. Mtui, hawa wamekuwa mfano wa kuigwa kwa tabia zao za kusaidia wa-Tanzania wenzao bila kubagua wala kuchagua,

  Heshima zangu zaidi zinamuendea Proffesor Lwiza, ambaye amenifundisha mimi binafsi, na wadogo zangu wawili kule Mlimani, ninarudia tena kwamba kwa wale wenye shida kweli ya elimu na kuhitaji msaada, huyu anaweza kuwasaidia sana, maana unajua mahali popote duniani unakuwa safe ukiwa na mwenyeji ambaye yuko willing kusaidia bila conditions.

  Ahsante Wakuu Tunaendeela kuhabarishana
  .
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,408
  Trophy Points: 280
  sauti ya umeme, haya mambo bado yapo?
   
Loading...