Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

Bado sijujua
Inaonesha walikuwa mabikra hadi form four wakaonja kamchezo walipomaliza form four. Mabinti utawatambua wameanza kujihusisha na mapenzi lini kwa kuangalia performance yao inapodrop! Mtoto akipata div one form four na kupata div four form six jua wajanja walimpitia na hata akiwa Chuoni akapata GPA let say 4 mwaka wa kwanza, wapili makarai unajua
 
Shule hizo za Manzese ujuaji.mwingi,wanafunzi wanajiona wanajua Kila kitu.
Halafu sijui kwanini wanafunzi waliopo kwenye Elimu bure ndo wakorofi mno wakati wale waliopo kwenye shule za bei Mbaya wapo very disciplined kutoka Nyumbani Kwao.Watoto wa Kayumba ni kama wamesuswa tu.
Kwa kweli mwenye nacho ataongezewa
 
Jamani bado hamjaelewa?
Pale Jangwani watu wana "watoto zao".
"Wameumia"
Sasa Mzazi mpaka mtoto anafeli alikuwa hajui? Ujue mtoto wa kufeli Huwa anaonekana kabisa mwenendo wake.We maksi anakuletea hazieleweki halafu upo kimya.Wanategemea mwisho ndo atafaulu.
Kuna hizi shule za Kata tukienda kwenye vikao vya wazazi shule ina wanafunzi elfu moja kwenye kikao wazazi hata Mia hawafiki
 
Wazazi huwa hawafatilii hayo usemayo.
Kama wazaz wa DSM hujifanya wapo BUSY sana
 
Nenda shule zile za kulipia tena siyo kwenye kikao cha wazazi siku ya kutembelea watoto ona wazazi wanavojaa,huku Kayumba walimu wamekabidhiwa majukumu yote.Mtoto kasukumiwa tu huko.
Mzazi X anaweza kuwa na watoto wawili.
Juma na Emma.
Juma yupo Loyola na Emma yupo mburahati Sec.
Mzazi X atakuwa busy na Juma kuliko Emma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimemsikia mratibu wa elimu kata analalamika amepita maporini amekuta watoto wana sufuria huko maporini wanapika.
Mabegi yanekutwa na BISIBISI,kondomz na lundo la nguo za nyumbani.
Hao ni watoto wa DAR
Pori gani?
 
Na Mimi hili ndo linaniumiza sana sana.Sijui niwasaidie kwa njia gani.Najua athari zake.
gracekwilasa usiumize kichwa. Hayo atapita. Subiri within 2 or 3 weeks wataacha kuzomea na maisha yataendelea kama kawaida. Wanachotakiwa kufanya ni kuwapuuza wanaozomea na kuongeza bidii kwenye masomo.
 
Mtoa mada sijakuelewa, kwamba ulitaka wapongezwe kwa kitendo chao cha kishujaa cha kushika mkia ama vipi??
 
Nimesha amasisha watoto mtaani kwetu kwenda kuzomea wanafunzi wa Jangwani hapo baadaye, tunasubiri jamaa watuletee tarumbeta tuanze safari ya zomea zomea Jangwani Sec.
 
Dar shule zinafaulisha.
Ila zinazofaulisha ni za Binafsi.
Rate ya watoto kufeli imekuwa kubwa sana kwa sasa.
Na ni public schools ndiko wanakofeli.
Hata kuwe na mbinu watoto watafeli kwa sababu moja tu HAWASOMI.
Na life styles zao zinawaangamiza.


Na hatujafikia level ya Serikali ku take over everything. Maana ingekuwa hivyo at least watu wangeweza kuwa na hope kuwa pengine Serikali ingeweza kuongeza nguvu ili kutatua tatizo.

Kuhamisha Walimu sidhani ni concrete solution.
 
Shule za Dar watoto wana changamoto nyingi ikiwepo Usafiri.Kuna shule watoto Kila siku wanafika shule saa tatu na wanafika makwao saa kumi na mbili.


Mkuu unaona sasa issues kama hizi. Kwa nini tuwalaumu watoto directly wakati kuna blocks in the way zinazo contribute kushindwa darasani?!

Ndo maana nikaafiki Ile point ya kuwa we need to go the root of the Problem.
But there seem to be Problems.

Hata hao trouble-makers, sijui watukutu.
What should we expect from Teenagers?!
Then, at this age group, unakuta wengine wametoka kwenye broken homes na matatizo nyumbani yanayo wasababisha wasiwe stable.

Tell me how this kids will do in school.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…