Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

James! Wajina Na naniliu..
Umefanya utafiti eeh??
 
Iliyoshika namba 1 kimkoa kwenye Moko sio Jangwani ni Kibasila.
Tena imeongoza kwenye shule za Serikali,ila kwenye shule zote 300 yaani Public and Private Schools bado iko mbali sana almost ya 40+
Kama sio 44 basi 45.
Nenda kapitie data zako.
 
Tofautisha kibaha na jangwani!halafu kibaha wanaenda best students
Jangwani pia wanaenda best stidents.
Kwa DSM
1.Jangwani
2.Zanaki
3.Pugu
4.BENJA
5.DAR ES SALAAM SEC
6.Kibasila
7.Nimeisahau.
Hizi shule wanaenda best students.
Mwanafunzi asiposoma ni kwamba ATAFELI
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akifeli mwanafunzi lawama kwa mwalimu.
Hivi mwanafunzi wa kidato cha VI hajui anapaswa kufanya nini?Na hapaswi kufanya nini?
 
Sio ndio hicho cha kushangaza sasa!

Kwa nini wao ndio waonekane ku fail sasa?

Wamekosea sawa, waonywe sawa, lakini sio kwa hivi.
Ni kweli kuzomewa kubaya ila lazima wanafunzi wa DAR wabadilike.
Hao waliobaki Jangwani bado ni tatizo.
Kwa muda sasa tangu 2017 na sasa 2018 Dar inaingia kwenye matokeo mabovu.
Watoto wabadilike,wazaz wasiwe busy kiasi cha kushindwa kujua taaluma za watoto zao.Nimeshuhudia somewhere watoto wamatembea na bisis bisis na visu na kusumbuana na walimu.
Shule kama Manzese,Mugabe na Mburahati walimu wameamua kukaa pembeno kuwaacha tu watoto kwa sababu ya utukutu.
Sasa naona jamii imeamua kuwabadilikia.
Pale Fire utakuta wale watoto wamekaa tu hawapandi daladala hawaendi shule.
Zile sketi na raba nyeupe zinawapumbaza sana.
Kuzomewa ni mojawapo ya Reward.
Alizomewa mzee wa Msoga pale udsm iwe hao watoto wa jangwani?

Halafu matokeo ya Jangwani yamewauma sana watawala na wadau wengine.Kwenye zile shule 10 kwa Dar kuna shule 2
Zenji kuna shule 2 why JANGWANI?
Watoto wa mjini wabadilike.
Watapata tabu sana
 


Alafu inaonekana kama si mwalimu wa jangwani au umesoma jangwa


Jokes
 


Mkoroshokigoli naomba uone hii point kwanza.

I think one of the starting point to the best solution ni kuchimba the root of the problem.
Kuangalia kwanza kiundani tatizo lilikuwa wapi badala ya ku jump into conclusion na kuanza kuwa Judge kuwa ni watoto wa mjini.
What if tatizo ni walimu na sio wao.

Umeona hapo juu kuwa wanaruhusiwa kuingia darasani na simu. That's not okay.
Teachers are supposed to be held responsible for that, na sio wanafunzi.
 
Iliyoshika namba 1 kimkoa kwenye Moko sio Jangwani ni Kibasila.
Tena imeongoza kwenye shule za Serikali,ila kwenye shule zote 300 yaani Public and Private Schools bado iko mbali sana almost ya 40+
Kama sio 44 basi 45.
Nenda kapitie data zako.
Nimerekebisha on some of my comments Ni Ya Kwanza Kiwilaya.Leta Data za Wilaya ...especially Ilala
 
Tena jitegemee ukiingia gateni kama unaingia gerezani
 
Jangwani pia wanaenda best stidents.
Kwa DSM
1.Jangwani
2.Zanaki
3.Pugu
4.BENJA
5.DAR ES SALAAM SEC
6.Kibasila
7.Nimeisahau.
Hizi shule wanaenda best students.
Mwanafunzi asiposoma ni kwamba ATAFELI
Best wa Jangwani na Dar es Salaam siyo sawa na Best wa Kibaha,Mzumbe, Ilboru na Tabora Boys
 
Zamani nilikuwa na tabia kama za Magufuli za kuita/ kuona watu wanaofeli mitihani vilaza.

Lakini Tanzania - not necessarily Jangwani- kuna sababu nyingi sana watu wanafeli.

Kuna watu hawana miwani tu, na hata hawajui kwamba wana matatizo ya macho wanahitaji miwani, wanaona kawaida, kwa sababu vijijini kwao huko watu hawavai miwani sana.

Na hawa (victims wa jamii ambayo kuvaa miwani ni anasa) wakifeli watasemwa vilaza.

Halafu mimi nahoji dhana nzima ya kwamba wanafunzi wa maswekeni huko wakiwa wa mwisho ni poa tu, hakuna anayelalamika, lakini siku wananfunzi wa maswekeni wakilipiza kisasi na kuchukua "nafasi ya Jangwani" ya juu, licha ya kukosa miwani na taa, halafu wanafunzi wa Jangwani wakachukua nafasi ambayo tulitegemea na kutarajia kwamba iwe ni nafasi ya wanafunzi wa maswekeni, hilo liwe ni tatizo la kitaifa linalotakiwa kutungiwa muswada pekee wa kupelekwa Bungeni kwa jina la "Saidia Jangwani Isishuke Daraja la Msimbazi"
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akifeli mwanafunzi lawama kwa mwalimu.
Hivi mwanafunzi wa kidato cha VI hajui anapaswa kufanya nini?Na hapaswi kufanya nini?
Zama hizi siyo zama kama za zamani siku hizi Kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe.Kama hutaki kusoma unasubiri mwalimu akufosi wakati naye anahangaika na wanawe utafeli tu
 
Zama hizi siyo zama kama za zamani siku hizi Kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe.Kama hutaki kusoma unasubiri mwalimu akufosi wakati naye anahangaika na wanawe utafeli tu
Nashangaa wanaolalamika kuhusu Jangwani.
Mtoto anafundishwa na hasomi.
Kazi ya mwalimu ni kufundisha.
Suala la kufaulu ni la mtoto.
Hapo jamii inapaswa kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…