Wanafunzi 190 walawitiwa Hanassif

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
16,927
13,011
Wakati yule mtoto wa kule uganda akiendelea na matibabu ,ukatili mwingine unaendelea hapa hapa kwetu ambao madhara yake ni makubwa zaidi.

Gaazeti la mtanzania limeripoti kua watoto 190 wamelawitiwa huko hananasiff( hope ni huko dar)

Hii mada iachwe hapa hapa ili wazazi wajadili" ni kwa jinsi gani watoto wapo salama pale wanapokuwa mbali nao"

 
mmmmmmmmmm Balaaa..
 
Kinondoni mkwajuni hii shule ndipo ilipo ila habari hizi sina inawezekana ikawa udaku
 
mbaya sana kama ni kweli...itakuwaje yaan miaka ijayo...hili ni tatizo kubwa kwa sasa katika jamii yetu....
 
nimezisikia hizi habari ktk uchambuzi wa magzeti asubuhi...

so sad tunaharibu nguvu kazi ya taifa la kesho...

wazazi yatupasa kuwa makini na watoto..

tuwafatilie kwa karibu, kujua mabadiliko ya tabia..

if possible kuwafanyia medical chek up fro time to time..
 

Hii ndo front page.
 

Attachments

  • IMG_20141125_110238.jpg
    39.8 KB · Views: 642
Last edited by a moderator:

Na ya kimwili pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…