Wanachuo wangu wananitega

Wanachuo wangu wananitega

duh!!! wewe nadhani sio mualimu kitaluma hat a hufai kuwa ktka tasinia hiya,mualimu ni mzazi mzazi hawezi kutamani watoto wake.paka uwandike uzi kamahuu wewe umevamia professional ya watu bhana neenda ukatafute kazi enao kufaa!!!!!
 
Habarini wadau,

Mwenzenu nina changamoto sana juu ya sketi za hawa wanachuo wangu ninaowafundisha. Yani watoto ni warembo sana ila sasa haya mavazi yao ni mtihani sana nikiwa napiga lecture hawa watoto wanaokaa mbele yangu wanajiachia sana.

Ni chuo kinachotoa kozi za hotel na utalii ila maadili ya kazi yananibana kuwala hawa wanachuo wengi washanifuata sana, Mara ticha tupeleke tour hotelini, Mara ticha tuoneshe kwako tukutembelee na wengine ndo wanataka namba yangu ila daaah naogopa jamani.Lazima kuheshimu kazi.
Utakapo disco ndio utapata akili... nadhan hujatambua ni nini umefuata chuoni
 
We jamaa siumesema mademu wanakukacha kisa huna doo!? Kwamba unaenda Msumbiji kuchimba ruby na ukiwa na pesa utakuwa boss na watakukoma!?

Ghafla umeshakuwa lecturer?

Sio wewe kweli? Au nimefananisha?
 
Back
Top Bottom