The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
my love unataka shughuli kwanza ushakula..!!!Njoo basi chumbani baby yangu kipenzi
my love unataka shughuli kwanza ushakula..!!!Njoo basi chumbani baby yangu kipenzi
Nikila siwezi bwana sI unajua nilishiba nataka kwanza ndiyo nile..my love unataka shughuli kwanza ushakula..!!!
na hayo macho yako baby.. utanitoa roho hakyamungu.... acha nitafute taulo nivae mie...!!!Nikila siwezi bwana sI unajua nilishiba nataka kwanza ndiyo nile..
atamshonea ila bado hisia zipo kwa hao wanafunziWamezidi
Naja babyna hayo macho yako baby.. utanitoa roho hakyamungu.... acha nitafute taulo nivae mie...!!!
Utaniganda![]()
apo ndo penyew mi nataka jina lisiwe miss liwe mrs kabisa yanZa wanaume.Usimuegeshe mwanamke unayeishi naye nyumba moja.
Usimuegeshe rafiki wa dada yako.
Usimuegeshe mfanyakazi mwenzako.
Usimuegeshe mwanafunzi wako.
Usimuegeshe mdogo/ dada wa mpenzi wako.
Hizo ni golden rules.
Acha kunibania![]()
apo ndo penyew mi nataka jina lisiwe miss liwe mrs kabisa yan
Hta sikubanii mama sema natka upate kiuhalali ukiwa unajidai yanAcha kunibania
Hapa umedhihirisha uongo wakoNlishasimamishwa kazi kwa kuwachapa kwa fujo ,now nimerudishwa kazini naogopa ntaharibu tena kazi si unajua usawa wa magu vacancies ni za kusotea
Please naomba ufafanunuzi wa neno "Usimuegeshe",otherwise zinaonekana kwel ni golden rules.Usimuegeshe mwanamke unayeishi naye nyumba moja.
Usimuegeshe rafiki wa dada yako.
Usimuegeshe mfanyakazi mwenzako.
Usimuegeshe mwanafunzi wako.
Usimuegeshe mdogo/ dada wa mpenzi wako.
Hizo ni golden rules.
Usimgegede, Usilale naye.Please naomba ufafanunuzi wa neno "Usimuegeshe",otherwise zinaonekana kwel ni golden rules.
Nashukuru mkuuUsimgegede, Usilale naye.