Wanachuo wangu wananitega

Wanachuo wangu wananitega

Mkigombana ofisi utaiona chungu, mkiachana ndiyo utaiona chungu zaidi.
Performance ikipungua ofisini mpaka bosi akajua ofisi utaiona chunguuuuuu .
Hata kama hamfanyi ofc moja mtu kukuacha hata ndani kwako panakua pachungu. Alaf kuna wengine wanatoka nama boss. Sasa hapo je
 
Ha haa! Mkuu, mie hapa kuna kabinti ka mama mwenye nyumba kananibania uch*... Kwa hiyo niko within the rules?
Mkuu hivi tangu umtokee ushapeleka goma jingine hapo home kwako?

Maana mimi hata kumtokea tu ningeshindwa nikiwaza hivyo tu.
 
unawatafuna mpaka wanajuta ha ahha ila mabya hiyo
kujuta tu!! mpk maji yanakauka inaanza friction unafuata moshi unakuja moto! na kama hana namba za fire hapo ndipo atakapoisoma namba
 
Hata kama hamfanyi ofc moja mtu kukuacha hata ndani kwako panakua pachungu. Alaf kuna wengine wanatoka nama boss. Sasa hapo je
Sehemu mbili ambazo mtu panatakiwa pawe na amani ni kazini na nyumbani.
Ukiachwa na mtu ambaye hamfanyi kazi ofisi moja, ofisini patakua pachungu lakini hautakua na kazi ya kujificha ficha kwenye makabrasha na makordo ili msionane.

Kutokana na ishu yenu mtawafosi wafanyakazi wenzenu wachague upande, wako au wake wa kuusapoti. Atakayekua beneti na wewe kukusapoti katika hicho kipindi kigumu atakua ni adui wa ex wako, wakati atakayekua beneti na kumsapoti ex wako atakua ni adui yako.

Hiyo ni automatically.

Ofisi haiwezi kuwa na watu ambao mmenuniana na ikaendelea na majukumu yake kama kawaida.
 
Here there are two things involved, you either follow your professional code of conduct, or your dick.If you chose your professional code of conduct, you are safe.If you chose you chose your dick there are two things involved. You either contract HIV,or get sacked. If you are sacked, you are safe.If you contract HIV ,there is only one thing involved! YOU WILL DIE!
 
Habarini wadau,

Mwenzenu nina changamoto sana juu ya sketi za hawa wanachuo wangu ninaowafundisha. Yani watoto ni warembo sana ila sasa haya mavazi yao ni mtihani sana nikiwa napiga lecture hawa watoto wanaokaa mbele yangu wanajiachia sana.

Ni chuo kinachotoa kozi za hotel na utalii ila maadili ya kazi yananibana kuwala hawa wanachuo wengi washanifuata sana, Mara ticha tupeleke tour hotelini, Mara ticha tuoneshe kwako tukutembelee na wengine ndo wanataka namba yangu ila daaah naogopa jamani.Lazima kuheshimu kazi.
Duh fisi amekabidhiwa bucha
 
Usimuegeshe mwanamke unayeishi naye nyumba moja.

Usimuegeshe rafiki wa dada yako.

Usimuegeshe mfanyakazi mwenzako.

Usimuegeshe mwanafunzi wako.

Usimuegeshe mdogo/ dada wa mpenzi wako.

Hizo ni golden rules.
sasa icho chuo au shule
 
Habarini wadau,

Mwenzenu nina changamoto sana juu ya sketi za hawa wanachuo wangu ninaowafundisha. Yani watoto ni warembo sana ila sasa haya mavazi yao ni mtihani sana nikiwa napiga lecture hawa watoto wanaokaa mbele yangu wanajiachia sana.

Ni chuo kinachotoa kozi za hotel na utalii ila maadili ya kazi yananibana kuwala hawa wanachuo wengi washanifuata sana, Mara ticha tupeleke tour hotelini, Mara ticha tuoneshe kwako tukutembelee na wengine ndo wanataka namba yangu ila daaah naogopa jamani.Lazima kuheshimu kazi.
tatzo lako unataka utoke na kila mtu tafta mmoja anayejiheshimu na msili hapo maisha yatakuwa mazur ila ukitaka ulale na kila mtu hata heshima yako itashukaa
 
Back
Top Bottom