Wanachuo wangu wananitega

Wanachuo wangu wananitega

Hapa umedhihirisha uongo wako

Kwenye uzi wako inaonesha kwamba huwa unawakwepa kiasi kwamba hata namba ya simu kuwapa unaogopa ambapo pia ni uongo mwingine kwa kuwa wale class representative huwa wana namba za ma lectures sasa wewe imekuaje kuaje usitoe

Naungana na miss chagga i'm sorry to say ila navyoona jogoo wako hapandi mtungi au laah una kibamia
Mkuu njoo ghetto nikutie ndo utajua kama sidindi au lah,najali kibarua changu ,na hawa watoto wanazingua sitaki kuharibu kazi
 
Huyu mtotor mahondaw ndio michezo yake hii akiwa college.. Sasa hivi yupo world vision.. Aliwatega sana waalimu
 
Mkuu njoo ghetto nikutie ndo utajua kama sidindi au lah,najali kibarua changu ,na hawa watoto wanazingua sitaki kuharibu kazi
Kiongozi heshima yako.. Aisee niunganishe na college/vyuo hivyo na mimi nipige pindi..
Serious. Sio kwa sababu ya watoto hao.
Kama kuna possibility naweza kuku pm tuongee zaidi. Nipo dsm.
 
Habarini wadau,

Mwenzenu nina changamoto sana juu ya sketi za hawa wanachuo wangu ninaowafundisha. Yani watoto ni warembo sana ila sasa haya mavazi yao ni mtihani sana nikiwa napiga lecture hawa watoto wanaokaa mbele yangu wanajiachia sana.

Ni chuo kinachotoa kozi za hotel na utalii ila maadili ya kazi yananibana kuwala hawa wanachuo wengi washanifuata sana, Mara ticha tupeleke tour hotelini, Mara ticha tuoneshe kwako tukutembelee na wengine ndo wanataka namba yangu ila daaah naogopa jamani.Lazima kuheshimu kazi.
ww ndo yule james delicious wa kwenye mitandao nn??
 
Kwa nini usi mshonee mkeo/girlfriend,Nguo Kama hizo zinazokuchangavya.itakuwa fresh,kuliko kuhatarisha kibarua chako
amshonee na makalio?? maana kinachotamisha sio nguo ni kilichopo mule ndani
 
Habarini wadau,

Mwenzenu nina changamoto sana juu ya sketi za hawa wanachuo wangu ninaowafundisha. Yani watoto ni warembo sana ila sasa haya mavazi yao ni mtihani sana nikiwa napiga lecture hawa watoto wanaokaa mbele yangu wanajiachia sana.

Ni chuo kinachotoa kozi za hotel na utalii ila maadili ya kazi yananibana kuwala hawa wanachuo wengi washanifuata sana, Mara ticha tupeleke tour hotelini, Mara ticha tuoneshe kwako tukutembelee na wengine ndo wanataka namba yangu ila daaah naogopa jamani.Lazima kuheshimu kazi.
kutoka kimapenz na mwanafunz wako sio kosa mkuu tatzo kama utatumia position yako kushawish
tumefundshwa na malecture na wana wake zao humo humo
 
Back
Top Bottom