Wanachuo wa KCMC na MUCCOBS, acheni ushamba

Wanaziita clinical coat sijui mtaani wataita kwa jina gani
 
Bro una wivu mbaya sana, yaani umemzidi KAOGE wivu wake dhidi ya wanawake
 
Naona umemsaidia mkuu "nerve trigeminus",
Poa .
imenibidi maana alikuwa ashaanza ona nyota nyota ndo aelewe mchango we2 madaktr sio kuuza sura bali kutoa support na kumjali yeyote bila kuangalia tofauti ze2 wala nn.
 
Huyu mjinga ni anawaza utumbo gani huo!!! Kuvaa kitàmbulisho kuna faida nying nzur sana hususan kujulikanaa pind tatizo linapokusibu ila kwa huyu mpuuzi mwenye wivu na nafasi nzuri walizonazo wenzake anaona in ushamba kwa sabbu hana uwezo wa kufika hapo walikpfikaa !!!! I dn like bullshit people like huyu aliyeanzisha hii thread !!!!!!! Boy fikiria namna nzur ya kukaa na watu na sio kujiona weee unajua kila kitu kwa sabb upo town unajikutajaaaanjaaa !!!!! BASTARD !! THNK B4 ACT
 
imenibidi maana alikuwa ashaanza ona nyota nyota ndo aelewe mchango we2 madaktr sio kuuza sura bali kutoa support na kumjali yeyote bila kuangalia tofauti ze2 wala nn.
Msamehe bure mkuu,mkisema mlipe visasi ,sisi raia tutakufa jamani,
mtuonee hueuma tu ,Mungu mwenyezi aatawalipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…