Wanachuo wa KCMC na MUCCOBS, acheni ushamba

Wewe inakukera vp? Ndio great thinker wewe? Vaa hicho kitambulisho chako cha ubaamedi tuone.
 
hiyo itakuwa mijitu ya bara, pwani kwenye ustaarabu thubutu mtu afanye hivyo..
 
Kuna dem wa ushirika kakukataa nini mkuu
 
Hahahaha
 
wivu wa kike..
na wewe vaa kitambulisho cha kura/taifa
 
Pita kushoto huyo nao umbea au mada..ka smart phone kenyewe itel. we ulitakaje hasara za kusoma arts hizoooook
 
Kwan Kuna tatizo mkuu!!!
au ww wanakukera nn waache wavae c vyao na ww vaa chako hata cha Bima ya afya vaa c chako
Nimecheka sana mkuu hapo pa yeye naye avae hata cha bima ya afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…