Wanachuo wa KCMC na MUCCOBS, acheni ushamba


Hahaha

Akahamie mabogini nimecheka
 
Acha wavae tu unafikir kusomea udaktar mchezo ww wivu unakusumbua maana hakuna mtu anaesomea kufunga vidonda ila wanasoma udaktar io kauli tu inaonesha wivu
 
We chizi kweli mtu anakopeshwa na serikali tena ki elfu kumi kwa siku anitishie mtu napokea salary 3mil take hme, we unaumwa ngiri au tezi msoga
Mbona mapovu mengi, au wamekugongea wf?
 
moshi kuna baridi ndo maana hawa vui makoti ingekuwa muhas au IMTU ningeshangaa
 
Hhehehe, mgonjwa wewe na sijui umetoka lni wodi ya mandela pale mawenzi lakini inabidi urudi. Alaf nashkuru kwa kutuchana ingawa sio kama tunavomchana mkeo **** yake. Amen. Kwarezma njema mbwa wewe usie na pesa, akili wala maisha.
 
We chizi kweli mtu anakopeshwa na serikali tena ki elfu kumi kwa siku anitishie mtu napokea salary 3mil take hme, we unaumwa ngiri au tezi msoga
Tatizo unachoumia ni nini we una million 3 yeye elf 10 kwanini akuumize kichwa!?? Hii ni nchi huru as long as wanachofanya hawavunji sheria waache wafanye..

Hhahaahaaa et wananikera wanavyopita na VITAMBULISHO VYA CHUOπŸ˜•πŸ˜€πŸ˜• kila mtu na maisha yake johπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
No povu kkπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 


Kwani kwa kufanya hivyo wanavunja sheria za nchi?

We mleta mada unaonekana ulikimbia umande mtu aliyesoma hasa kwa level ya Chuo kikuu Kama ulivyosema wewe hawezi post utumbo Kama huu.
 
We kweli ni mmoja kati ya baba swalehe wa moshi..
 
tatizo hivo vyuo vinaongoza kwa ush oga , so inawezekana wanafanya hivo ili kutafuta mabwana. Wanaliwa sana
 
ahahahahahhhaahaah mbavu zalegea huku mie hahahahahahaha sijui la omo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…