Wanachokitaka wanawake

awe tall, awe ana exposure, awe kyut, awe anajua kuvaa, awe anajua game na pesa za kunilelea.

mhh! Pesa za kukulealea,malezi yapi?kula,kulala,na kuvaa tu? Au na pesa ya gari pia.ggggrrrrh,mnapenda pesa nyie.mwee
 
Mimi wangu kaniambia ananipenda kwanza kwa sababu mie ni mstaarabu kiasi, mcheshi kiasi na mchapakazi kwa nidhamu ya hali ya juu. Pia akaniambia kuwa ni kwa sababu nipo very concern na hofu ya Mungu.
 
afwadhali AshaDii walau umerudisha matumain yangu ktk kupendwa. Sa hvo vgezo vya mtoa mada sina, we unadhan kama sio wewe ningekuwa mgen wa nan?
 
Last edited by a moderator:
kasema amenipanda kwaajili ya kuvaa surual za vitambaa.
 
mimi wangu kanipenda kwaajili ya ubaya wa sura yangu na umaskini wangu lakini namjali sana ktk mambo mengine. so anajua nitakuwa nae yeye tu maana wale wanaopenda hela na handsome boyz watanimwaga.
 
Kiufupi nakuwa nimekamatwa...nikimwona tu sina neno juu yake na sina sababu kwa nini nampenda..kwani kila nikimwona moyo unapasukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mapenzi inategemea umeangukia kwa nani?
1.Kuna mtu anahitaji penzi la kweli na la dhati, huyu material things uwa hayamsumbui-isitoshe yeye anaweza kuwa amejitosheleza.
2.Kuna mwanamke anakosa baadhi ya vitu, anapokupata yupo tayari kugharimikia ili mradi apate mambo adimu.
3.Kuna wanawake wanatumia charge na kuwa nawe ili ajinufaishe kwa muda huo mupo kwenye mahusiano, mfano nzuri baadhi ya wanafunzi wa vyuo, hapo pochi lako ndio linathamani kuliko mapenzi.
4. Kuna wanawake wengi, uanamke ndiyo mtaji wake, bila pesa hupati kitu kwa siku hiyo.

Mkuu uliangukia either type 3 or 4, sababu mapenzi yamekutesa, hasa pochi kuwa sucked.
 
Back
Top Bottom