St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,231
Thanks Mummy, tena sweetlady nilikuwa nimemtupa kwenye dustbin, ulivyosema nitupe kule nimeenda kumwokota kwenye dustbin, nimemtupa kwenye dampo
Hahahahaha! Nimeamka salama St. Paka Mweusi! Filipo nilimrushia karambo nje siku nyingi sahivi sijui yuko wapi. Mungi anajipendekeza tu ila bado namfikiria.
Kifo tu ndio kitatutenganisha sio the so called binadamu tena wa JF, CC, mafreemason no way.
Hahahahaha! Aisee kumbe hunipendi Lily Flower lolKwenye dampo anaweza akajipukuta akarudi tena ungemuweka kwenye recycle bin kabisa.
Hahahahaha! Nimeamka salama St. Paka Mweusi! Filipo nilimrushia karambo nje siku nyingi sahivi sijui yuko wapi. Mungi anajipendekeza tu ila bado namfikiria.
Hahahahaha! Nimeamka salama St. Paka Mweusi! Filipo nilimrushia karambo nje siku nyingi sahivi sijui yuko wapi. Mungi anajipendekeza tu ila bado namfikiria.
Hahahahaha! Nimeamka salama St. Paka Mweusi! Filipo nilimrushia karambo nje siku nyingi sahivi sijui yuko wapi. Mungi anajipendekeza tu ila bado namfikiria.
Hahahahahahaha lol. Eti abakie hekaluni daaah! Kazi anayo mwaka huuHahahahahah afadhali,, namuonea huruma Filipo,sijui huko Tanga itakuwaje maana marejesho atakuwa na Nicas Mtei abakie hekaluni tu na Mafreemason wenzake...
We koma kunichafulia CV! Afu ukicheza ntamwambia PJ akurudishie ka laki kako ututolee makelele!
Hahahahaha! Hata hivyo sihitaji anisikilize! Ukinisikiliza wewe inatosha Mungi.Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeee koma na mdomo wako! we unafikiri Lily Flower anakusikiliza............ kwa taarifa yako hata hii post atakuwa hajasoma kabisa
Afu wewe Baba V naona una hamu ya kutolewa kafara! Subiri.Walisema avumae chit chat kwa kuwapanga ni Madame B ila hawakujua kama na sweetlady yumo, hapo mume halali nitonye hujamtaja na hawara wako wa viwango Mr Rocky bado, kuanzia leo inabidi Asprin ukifanya ukaguzi uwe unatuletea feedback hapa ili tujue wengine hizo K inu zao zimetengenezwa kwa material gani ati, mtu anawezaje kumudu mijibaba tisa na mikia yao bila shida
Hahahaha! Inarudishwa ya kwako ukafie mbele! Wewe unaonekana utatusumbua sana tanga!Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwa taarifa yako PakaJimmy hana ubavu wa kurudisha kilo zangu mbili, manake nimemlipia mpaka my Lily Flower
Jipe moyo, mie huku PM pia ananambia namnukuu "usijali sweetlady hapo namridhisha tu Lily Flower "mwisho wa kunukuu!...[COLOR=#800000 [USER=33860]sweetlady[/USER] angalia hapo kwenye red na uache makelele kuanzia sasa.
[/COLOR]
Jipe moyo, mie huku PM pia ananambia namnukuu "usijali sweetlady hapo namridhisha tu Lily Flower "mwisho wa kunukuu!...