wanachit chat ni mafreemason!!

wanachit chat ni mafreemason!!

Walisema avumae chit chat kwa kuwapanga ni [MENTION=80055]Madame B[/MENTION] ila hawakujua kama na sweetlady yumo, hapo mume halali nitonye hujamtaja na hawara wako wa viwango Mr Rocky bado, kuanzia leo inabidi Asprin ukifanya ukaguzi uwe unatuletea feedback hapa ili tujue wengine hizo K inu zao zimetengenezwa kwa material gani ati, mtu anawezaje kumudu mijibaba tisa na mikia yao bila shida

Hapo kwenye red unaweza ukanitajia kwa majina hao walosema kabla kamati yangu haijakaa na kuamua kukutoa kafara Baba V!
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye red unaweza ukanitajia kwa majina hao walosema kabla kamati yangu haijakaa na kuamua kukutoa kafara Baba V!
Huyu lazima tumtoe kafara manake amezidi kuchafua cv, hana hata haya.
 
Last edited by a moderator:
jamani mm naomba msaada wenu freemason nini hasa maana wengine wanasema ni chama cha matajiri duniani kweli?
 
Nimefanya uchunguzi wa kina nikagundua hili jukwaa la chit chat linapendwa sana na mafreemason. ukitaka kuamini angalia avator zao, hata mwandiko wao umekaa kifreemason mason. pm zao zimekaa kifreemason, mijadala yao imekaa kifreemason. hata wewe unayesoma hapa ni freemason. Siku nikipewa umoderator kuna watu sita na moderator mmoja watapakimbia na kwenda kujiunga na mitandao pendwa ya udaku tanzania.look very.mia

na wewe ni mtumiaji hivyo closedmason! Tehe tehe tehe!
 
Back
Top Bottom