Wanachama wa CHADEMA wilayani Meatu wajiunga CCM

Anayejua hesabu agawanye vitongoji 6 na wenyeviti 918 unapata ngapi?.Maana yake ni kwamba kila kitongoji kina viongozi 153! Sijawahi kuona vitongoji vikubwa kama hivi!
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?
Mlipuko mkubwa unapotokea ni busara ya kawaida kabisa kwa waliondani ya nyumba kukimbilia nje, na wale walio nje pia hukumbilia ndani. Mlipuko wa M4C uliopo na unaozid kutolewa na CDM ni lazma usababishe wenge flani lenye kama 640GB na hivyo kufanya wa nje kukimbilia ndani na wa ndani kukimbilia nje. Katika mazingira haya ya sasa, mtu anayekihama CDM na kuelekea CCM, Kwa kweli tumuache tu mana inaonekana hajui anataka nini.
 
Anayejua hesabu agawanye vitongoji 6 na wenyeviti 918 unapata ngapi?.Maana yake ni kwamba kila kitongoji kina viongozi 153! Sijawahi kuona vitongoji vikubwa kama hivi!

ha haaa haaa

ameumbuka huyu kiazi
 
Hapa inabidi Mods wawe wakali.., hakuna kosa kubwa kama kutaka kudanganya watu wakubwa wenye akili zao timamu, kwenye forum ambayo watu wanatumia kama njia ya kujipatia habari
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?
Wanahamia chama kinachokufa!!!
 
hizo ni propaganda kama za mzee wa propaganda aliyehama cuf na kujiunga na magamba, leo amepotea katika ramani ya siasa.

huyu hana point maana ameshindwa kutupatia source and taarifa za uhakika kam wenzake walivyofanya\

akithibitisha bado haiwezi kuwa ajabu kwani wengine hawakuwa cdm damu bali magamba ndani ya cdm hivyo wakiondoka wanasaidia cdm kupanga safu ya mashambulizi makamanda
 
kwa haraka haraka hakuna aliyehama cdm bali wameha ccm,na hii inatokana wa mshtuko huyu ndugu ameupata baada ya kusikia wanachama 1938 wakiwemo wenyeviti wa vitongoji kuhama ccm na kuhamia cdm,na huyu ndugu ikabidi atunge thread yake,na kama kuna waliohama watakuwa vikongwe wa maika 100
 
Kwa mara ya kwanza kusikia vitongoji 6 ikiwa na wenyeviti na makatibu 918.
Nakumbuka wakati Meshack Opulukwa anagombea ubunge ccm walikuwa wanatumia kigezo cha chadema kutoweza kushinda kutokana na kwamba haina hata kiongozi wa kitongoji. Sasa hao viongozi walichaguliwa lini?
Huu ni uongo uliotukuka.
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?

Umechelewa! cku yawajinga imepta
 
Aisee inafurahisha sana kwani hayo yalikuwa magugu yaliyoota na mazao na yamejigundua baada ya mavuno kuondolewa sasa wameamua kwenda sehemu inayowastahili. CHADEMA haina destruri ya kuwa na mambumbumbu lazima mchujo ufanyike wabaki wajanja tu!!!!!
 
Wamefanya jambo la maana sana kwa kuhama toka chama cha Ukanda wa Kaskazini.

Hauoni hata aibu, ina maana hata Mwanza, Dar, Shinyanga, Bukoba, Mara, Katavi, Kigoma, Singida, Mtwara na Sumbawanga ni KASKAZINI.....KAMA HAUNA HOJA KAA KIMYA.....UKIONGEA UKANDA WA CHADEMA HATA WATOTO WAKO WATAKUCHEKA....
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?

tupe majina na uhakika please, msije kuleta propaganda humu ndani tafadhali jamani, siasa za majitaka za ccm hatuzitaki.
onyesha ushahidi
 
Back
Top Bottom