Wewe dogo acha siasa za majitaka na umbea pamoja na uzushi uliokithiri unaoambatana na uongo wa hali ya juu.mimi ni mkazi wa jimbo la meatu na naifahamu meatu zaid ya wewe unayejitapa kuwa unaifahamu! Kwa taarifa yako ni kuwa moto wa chadema ulioko hapo meatu chini ya mhe.jeremiah meshack opulukwa ni za hali ya juu na hauwezi kulinganisha uongo wako huo.kama unamfahamu vizuri salum mbuzi aliyepigwa bao la kisigino na kukimbilia kwake hapo shy usingesema pumba hizo hata kidogo!!!.ccm haina chake hapa meatu chini ya jambazi sugu na fisadi wa kutupwa ambaye ni m/kiti wake mzee enock.hata wangefanyaje ccm hawawezi kulichukua jimbo la meatu hata kwa ngumi au kwa vyovyote vile!.tangu kuingia kwa vyama vingi hapa nchini na kabla ya hapo hakuna walichokifanya zaid ya kujinufaisha wenyewe,madarja hakuna tena hata enzi za mlyambate hakuna alichokifanya.huduma za afya ni mbovu,barabara ilikuwa ni shida tupu,urasimu na ufisadi wa hali ya juu,udugu na kujuana katika ajira,wizi wa mali ya umma uliofanywa na mhasibu wa wilaya aliyejenga lodge maeneo ya mshikamano,uporaji wa ardhi ya wafugaji katika vijiji vya irambandogo,makao,sungu ambapo walipigwa na kuchomewa vyakula na makazi yao kisa mkuu wa wilaya kahongwa gari na mwiba holdigsn.k,ujenzi mbovu wa shule za sekondari hasa za kata chini ya kiwango mfano kimali sec ambayo imeshindwa kuvuta huduma ya umeme ambapo ni km chache kutoka hapo mjini mwanhuzi,mwabuzo,ngh'oboko,mwandoya na paji n.k,uporaji wa mali za wananchi,kubambikiziwa kesi zisizo na ushahidi wa kutosha na mengine mengi ya ajabu yaliyofanywa na serikali ya chama cha mapinduzi chini ya mlyambate na salum mbuzi!baada ya chadema kuingia madarakani mwaka 2010 mafanikio yafuatayo ya haraka yamepatikana na tena kwa ufanisi wa hali ya juu.1.ujenzi wa daraja la mto mwanhuzi ambalo linaunganisha vijiji jirani hasa shule ya sec kimali na kuwarahisishia upatikanaji wa rahisi KAKA NIMEKUKUBALI UNAIJUA MEATU VILIVYO CHADEMA NG'WIGULYA ZIGIZIGI