Wanachama wa CHADEMA wilayani Meatu wajiunga CCM

magamba bana! wanataka kujipoza kwa hii kasi ya wanachama kuhama na kuingia kwenye safina ya nuhu i.e cdm tungeni uwongo wote lakini mtaumbuka tuuu!!upepo unaovuma hautatulia hadi magamba yapukutike!!!
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?

Wanachama1938 wakiwa na wenyeviti wao watano wa vitongoji katika Wilaya ya Ngorongoro Kataya Enduleni wamekihama Chama cha Mapinduzi (CCM) Jioni hii na kuhamia Chadema.

Kwamujibu wa katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha Amani Golugwa, Wenyeviti haowalipiga simu asubuhi ya leo na kutoa taarifa za kuhama CCM. Chadema ilituma KikosiKazi ili kuthibitisha habari hizo na tayari imethibitishwa wanachama hao kuhamaCCM na Kuhamia CHADEMA kama inavyoainishwa hapa chini;

1. Saitabau Tereto - Mwenyekiti waCCM Kitongoji cha Esirwai,
Amerudisha Kadi yake na kuhamia Chadema,
Wanachama wengine 478 waCCM katika Kitongoji hiki wamerudisha KADI zao na kuhamia Chadema.

2. Kone Kema - Mwenyekiti wa CCM Kitongojicha Ndiyani,
AmerudishaKkadi na Kuhamia Chadema,
WanachamaWengine 590 (CCM) katika kitongoji hiki wamerudisha Kadi na kuhamia Chadema

3. Marko Mbene – Mwenyekiti wa CCM Kitongojicha Ngoyapase,
Amerudisha Kadi na kuhamia Chadema,
Wanachama wengine 320 katika Kitongoji hiki wamerudishaKadi na kuhamia CHADEMA

4. Saruni Meng'arana – Mwenyekiti wa CCM Kitongojicha Embarware –
Amerudisha kadi na Kuhamia Chadema,
Wanachama wengine 224 katika Kitongoji hikiwamerudisha Kadi zao za CCM na kuhamia CHADEMA

5. RobertEdward – Mwenyekiti wa CCM Kitongoji cha Madukani
Amerudisha Kadi na kuhamia Chadema,
Wanachama wengine 326 wa CCM katikakitongoji hiki wamerudisha Kadi na kuhamia CHADEMA
Arusha Mambo itakatisha matangazo yake toka Bungeni Dodoma na kuwaletea mahojiano ya moja kwa moja toka kwa Viongozi wa Chadema waliko eneo la tukio
 
Usidanganye umma ndugu. Hata sababu huwezi kutunga! hii sio page ya mambo ya kitoto.
 
Wamelipwa bei gani kila mmoja!!!!! au wamelipwa kwa jumla?
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?

Mwongo ,taarifa yako yakupikwa peleka huko uongo wako
 
Kweli inashangaza kuona watu wanaikimbia nuru ili kufuata giza. Ukiona mtuwa namna hiyo ni laziam atakuwa mwovu tu.
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?

si Dhambi kwao kuhamia CCM. na kwa number hiyo ni lazima ingekuwa breaking news of the day ..So i scare to count you same level of Ministers from your Rulling paty
 
Huu ni uongo!
Mbona watu kutoka Meatu hawathibishi hilo?
Source:- Mwana Magamba
 
Kwahiyo kila kitongoji kina wenyeviti(sijui wa shina/tawi/nyumba tanotano?) 153!!!!!!!!!!!!
Is this true?
 
Makatibu na w/viti 918 = roughly ni kama matawi 459, ambao ni wastani wa matawi 77 kwa kata 1 = another silly propaganda by ccm.
 
Mleta maada shughulisha ubongo wako, wakati huu watu wanaelekea Kanaan nchi ya asali na maziwa usitake kuwarudisha Misiri utumwani.
Pipoz Pawa itaondoka na wewe...
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?

Mbona umetoa taarifa kinyume?
Au una neutralize yanayojiri nchini?
 
Hivi huyu kwanini bado hana Banned (kama surname ya jina lake ?)
Lazima tukemee huu uongo na kuleta utani kwenye issue serious
 
Back
Top Bottom