WanaCCM tusikae kimya, chama kinapoteza sura yake

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,408
Udugu, umoja na mshikamano havipo tena ndani ya chama. Chama kimejaa fitina giliba na na uzandiki. Tumekiuka miiko ya chama "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko". Hivi sasa kinacho hubiriwa tofauti na kile kinachotendeka. Nitawapa mifano mitatu ktk jambo hili.

1. Hivi kwann Mwandosya na Membe watengwe na ccm hadi kufikia wakalalamika? Walifanya kosa gani?

2. Hivi wake wa wabunge wetu maarufu ambao sasa ni narehemu: John Komba na Deo Filikunjombe kwann wanatelekezwa hadi kufikia wanalalamika?

3. Iweje mzee Yusufu Makamba, ingali bado you hai amesahauliwa na chama ktk kipindi hiki ambacho anaumwa?.

Udugu, upendo, umoja na uthabiti wa maneno yetu viko wapi?

Ndani ya chama kwa sasa hakuna demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni. Nafasi za kugombea kupitia chama hiki sasa zinategemea maamuzi ya MTU na siyo sifa ya mgombea wala maamuzi ya vikao. Tumeyaona haya ktk chaguzi zote ndogo zilizofanyika ktk majimbo matano; Longido, Singida mashariki, Siha na Kinondoni.

Michakato ya kuwapata wagombea ktk majimbo haya haikuwa huru na ya haki na haikufuata taratibu zilizoainishwa ktk kanuni wala katiba ya chama.

Lkn pia hata ktk uchaguzi wa wabunge wa EALA, tulimsikia na tunaendelea kumsikia maanamama shupavu Shyrose Bhanji jinsi jina lake lilivyokatwa kibabe.

Vikao vya chama vimeondolewa (japo midomoni tunasema vimepunguzwa) na uwakilishi umeminywa sana ( idadi ya wajumbe wa vikao kupunguzwa kwa zaidi ya robo tatu).

Wanaccm hatuoni fahari tena na chama chetu, tunaumia ndani kwa ndani. Mm na wenzangu tuliokuwa makatibu wa wilaya tukaondoshwa kinyemela tumeamua kuwaamsha wanaccm. Tunaamini wanaccm mtatuunga mkono.

Kumbukeni nyoka akiingia ndani dawa siyo kuikimbia nyumba bali kumuua nyoka. Kama ANC na ZANU- PF wameweza kwann ccm tusiweze?

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
 
Sasa hivi CCM ipo Imara kuliko kipindi chochote kile tangu 1995!

Mwandosya alishajitenga Na CCM tangu alivyokatwa 2015 Sasa kasahau nini CCM mpaka aanze kulia lia?
Mzee Makamba Sasa hivi anasumbuliwa Na Sukari ( Diabete) nNdugu Mwenyekti wa Taifa yupo karibu nae kuliko kipindi chochote kile

Mke wa Deo Filikunjombe Habari zake Muulize Zitto Kabwe Kwa kuwa ndio Mfariji wa Mke wa Rafiki yake CCM haihusiki

Mke wa Hayati Kapten Komba deni la CRDB aliloacha Mumewe Zaid ya 900 M Chama kimelizingatia ndio sababu hakuna Mnada uliopigwa kwenye Mali zao wala hakuna Makato wanayopeleka Bank

Kuhusu Mahusiano Baina ya Wanachama yako vizuri sana kasoro wale Wanachama Maslah waliokuwa wanadhan Chama Ni Kama Kitalu Au Chemchem ya kuvuna

Uhuru wa kujieleza upo Na ndio sababu Ile Kamati ya Wabunge wa CCM ( Caucus) iliyovunjwa Na Jk wakati wake imerudishwa hivyo kuwezesha Wabunge wa CCM kukutana Na kutoa ya Moyoni kabla ya kwenda Bungeni Na hivyo kutokuwa Na Mgawanyiko
 
Watoto wa Nyerere wako wapo? Wengine wote mumewajaza watoto wenu na wake zenu kwenye uongozi wa ccm?
Ndivyo mnavyomuenzi baba wa taifa ambaye hakujipendelea yeye hata kidogo?
Shame on you!
 
Udugu, umoja na mshikamano havipo tena ndani ya chama. Chama kimejaa fitina giliba na na uzandiki. Tumekiuka miiko ya chama "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko". Hivi sasa kinacho hubiriwa tofauti na kile kinachotendeka. Nitawapa mifano mitatu ktk jambo hili.

1. Hivi kwann Mwandosya na Membe watengwe na ccm hadi kufikia wakalalamika? Walifanya kosa gani?

2. Hivi wake wa wabunge wetu maarufu ambao sasa ni narehemu: John Komba na Deo Filikunjombe kwann wanatelekezwa hadi kufikia wanalalamika?

3. Iweje mzee Yusufu Makamba, ingali bado you hai amesahauliwa na chama ktk kipindi hiki ambacho anaumwa?.

Udugu, upendo, umoja na uthabiti wa maneno yetu viko wapi?

Ndani ya chama kwa sasa hakuna demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni. Nafasi za kugombea kupitia chama hiki sasa zinategemea maamuzi ya MTU na siyo sifa ya mgombea wala maamuzi ya vikao. Tumeyaona haya ktk chaguzi zote ndogo zilizofanyika ktk majimbo matano; Longido, Singida mashariki, Siha na Kinondoni.

Michakato ya kuwapata wagombea ktk majimbo haya haikuwa huru na ya haki na haikufuata taratibu zilizoainishwa ktk kanuni wala katiba ya chama.

Lkn pia hata ktk uchaguzi wa wabunge wa EALA, tulimsikia na tunaendelea kumsikia maanamama shupavu Shyrose Bhanji jinsi jina lake lilivyokatwa kibabe.

Vikao vya chama vimeondolewa (japo midomoni tunasema vimepunguzwa) na uwakilishi umeminywa sana ( idadi ya wajumbe wa vikao kupunguzwa kwa zaidi ya robo tatu).

Wanaccm hatuoni fahari tena na chama chetu, tunaumia ndani kwa ndani. Mm na wenzangu tuliokuwa makatibu wa wilaya tukaondoshwa kinyemela tumeamua kuwaamsha wanaccm. Tunaamini wanaccm mtatuunga mkono.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Ccm inawanachama wengi siyo wewe tu na wote wananafasi sawa, au kunanafasi ipo wazi? mlizoea ninyi zamu yenu kutembelea meno
 
Sasa hivi CCM ipo Imara kuliko kipindi chochote kile tangu 1995!
Inawezekana unajibu kishabiki mkuu, mm ni mhenga ndani ya ccm.
Mwandosya alishajitenga Na CCM tangu alivyokatwa 2015 Sasa kasahau nini CCM mpaka aanze kulia lia?
Mke wa Deo Filikunjombe Habari zake Muulize Zitto Kabwe Kwa kuwa ndio karithi Mzigo wa Rafiki yake CCM haihusiki
Haya siyo majibu ya mwanaccm aliyeiva. Hapa panatoa taswira kuwa wewe ni shabiki usiyeijua ccm.
Mke wa Hayati Kapten Komba deni la CRDB aliloacha Mumewe Zaid ya 900 M Chama kimelizingatia ndio sababu hakuna Mnada uliopigwa kwenye Mali zao wala hakuna Makato wanayopeleka Bank
Thibitisha! Vinginevyo ni porojo tu.
Kuhusu Mahusiano Baina ya Wanachama yako vizuri sana kasoro wale Wanachama Maslah waliokuwa wanadhan Chama Ni Kama Kitalu Au Chemchem ya kuvuna
Kauli kama hizi ndiyo zinawafanya wanaccm wakae kimya.
Uhuru wa kujieleza upo Na ndio sababu Ile Kamati ya Wabunge wa CCM ( Caucus) iliyovunjwa Na Jk wakati wake imerudishwa hivyo kuwezesha Wabunge wa CCM kukutana Na kutoa ya Moyoni kabla ya kwenda Bungeni Na hivyo kutokuwa Na Mgawanyiko
Kama ulikuwa hujui caucus ndiyo huwafunga midomo wabunge.
 
Udugu, umoja na mshikamano havipo tena ndani ya chama. Chama kimejaa fitina giliba na na uzandiki. Tumekiuka miiko ya chama "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko". Hivi sasa kinacho hubiriwa tofauti na kile kinachotendeka. Nitawapa mifano mitatu ktk jambo hili.

1. Hivi kwann Mwandosya na Membe watengwe na ccm hadi kufikia wakalalamika? Walifanya kosa gani?

2. Hivi wake wa wabunge wetu maarufu ambao sasa ni narehemu: John Komba na Deo Filikunjombe kwann wanatelekezwa hadi kufikia wanalalamika?

3. Iweje mzee Yusufu Makamba, ingali bado you hai amesahauliwa na chama ktk kipindi hiki ambacho anaumwa?.

Udugu, upendo, umoja na uthabiti wa maneno yetu viko wapi?

Ndani ya chama kwa sasa hakuna demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni. Nafasi za kugombea kupitia chama hiki sasa zinategemea maamuzi ya MTU na siyo sifa ya mgombea wala maamuzi ya vikao. Tumeyaona haya ktk chaguzi zote ndogo zilizofanyika ktk majimbo matano; Longido, Singida mashariki, Siha na Kinondoni.

Michakato ya kuwapata wagombea ktk majimbo haya haikuwa huru na ya haki na haikufuata taratibu zilizoainishwa ktk kanuni wala katiba ya chama.

Lkn pia hata ktk uchaguzi wa wabunge wa EALA, tulimsikia na tunaendelea kumsikia maanamama shupavu Shyrose Bhanji jinsi jina lake lilivyokatwa kibabe.

Vikao vya chama vimeondolewa (japo midomoni tunasema vimepunguzwa) na uwakilishi umeminywa sana ( idadi ya wajumbe wa vikao kupunguzwa kwa zaidi ya robo tatu).

Wanaccm hatuoni fahari tena na chama chetu, tunaumia ndani kwa ndani. Mm na wenzangu tuliokuwa makatibu wa wilaya tukaondoshwa kinyemela tumeamua kuwaamsha wanaccm. Tunaamini wanaccm mtatuunga mkono.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Huo mwandoko siyo wa mwana CCM. Acha ujinga wa kichochezi na kukigawa chama.
 
Acha kutudanganya usituletee umbea
 
Back
Top Bottom