WanaCCM tusikae kimya, chama kinapoteza sura yake

Unajua katika msafara wa mamba ujue kenge hawakosi ukweli ni kwamba chama chenu cha CCM kimejaa wanafiki na ni chama cha kinafiki,kazi kubwa ya chama cha CCM ni kushangilia hata kwa mabaya hawataki kuambiwa ukweli,chukueni hatua mapema
 
Unaweza kuhama utuachie chama chetu. Asaivi tupo vizuri zaidi
 
Udugu, umoja na mshikamano havipo tena ndani ya chama. Chama kimejaa fitina giliba na na uzandiki. Tumekiuka miiko ya chama "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko". Hivi sasa kinacho hubiriwa tofauti na kile kinachotendeka. Nitawapa mifano mitatu ktk jambo hili.

1. Hivi kwann Mwandosya na Membe watengwe na ccm hadi kufikia wakalalamika? Walifanya kosa gani?

2. Hivi wake wa wabunge wetu maarufu ambao sasa ni narehemu: John Komba na Deo Filikunjombe kwann wanatelekezwa hadi kufikia wanalalamika?

3. Iweje mzee Yusufu Makamba, ingali bado you hai amesahauliwa na chama ktk kipindi hiki ambacho anaumwa?.

Udugu, upendo, umoja na uthabiti wa maneno yetu viko wapi?

Ndani ya chama kwa sasa hakuna demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni. Nafasi za kugombea kupitia chama hiki sasa zinategemea maamuzi ya MTU na siyo sifa ya mgombea wala maamuzi ya vikao. Tumeyaona haya ktk chaguzi zote ndogo zilizofanyika ktk majimbo matano; Longido, Singida mashariki, Siha na Kinondoni.

Michakato ya kuwapata wagombea ktk majimbo haya haikuwa huru na ya haki na haikufuata taratibu zilizoainishwa ktk kanuni wala katiba ya chama.

Lkn pia hata ktk uchaguzi wa wabunge wa EALA, tulimsikia na tunaendelea kumsikia maanamama shupavu Shyrose Bhanji jinsi jina lake lilivyokatwa kibabe.

Vikao vya chama vimeondolewa (japo midomoni tunasema vimepunguzwa) na uwakilishi umeminywa sana ( idadi ya wajumbe wa vikao kupunguzwa kwa zaidi ya robo tatu).

Wanaccm hatuoni fahari tena na chama chetu, tunaumia ndani kwa ndani. Mm na wenzangu tuliokuwa makatibu wa wilaya tukaondoshwa kinyemela tumeamua kuwaamsha wanaccm. Tunaamini wanaccm mtatuunga mkono.

Kumbukeni nyoka akiingia ndani dawa siyo kuikimbia nyumba bali kumuua nyoka. Kama ANC na ZANU- PF wameweza kwann ccm tusiweze?

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
chama chetu vipande vipande, nimezunguka mikoani kwa wanaccm wengi wanaumia sana mfano Kule Bukoba bado wanachama sana kinyongo na mwenyekiti, wetu kwa kuwanyima hela ya rambirarambi na msaada wa maafa.

nimepita mbeya huko wanaccm hawataki kumsikia mwenyekiti wetu

arusha wanachama wetu wanalalamika kuwa wamesahauliwa, na chama, chama kiko bize na wapinzani,

maeneo mengi ya mijini wanachama wanalalamika wamenyanganywa vitegauchumi, kwa hiyo hawana sababu ya kukitumikia chama.
 
Kama mtu anachukizwa na uendeshaji wa chama fulani cha kisiasa, mfano CCM, na anaona maoni yake yanapuuzwa, ana vitu vitatu (3) anavyoweza kuvifanya:

[emoji830]Kaa kimya uwe mwanachama au raia wa kawaida tu. Waangalie watakavyoangukia pua kwa madudu unayoyaona.

[emoji830]Gombea nafasi ya uongozi ndani ya hicho chama ili ukibadilishe ukiwa ndani.

[emoji830]Hamia chama kingine, mfano CDM, na uyatekeleze yale unayoyaona ni mapungufu ya CCM. Hili limefanywa na watu wengi tu ukiwajumuisha Lowassa, Sumaye, Nyalandu, na wengineo.

Kulialia mitandaoni si kitu kizuri. Unajaribu kuzipandikiza chuki zako binafsi kwa watu wengine. Kuna watu walio ndani na nje ya CCM wanaoona kuwa chama kinafanya vizuri tu.

Kuna na watu waliokuwa viongozi au wanachama wa kawaida tu wa vyama pinzani (kama CDM, ACT, NCCR, nk) ambao wamehamia na wanaendelea kuhamia CCM. Unaweza kusema wamehongwa lakini hizo ni kauli za wapinzani za kujifariji tu.

Naamini CCM ina mapungufu yake na waendelee kuyarekebisha na kujiboresha. CCM ya leo sio ile ya hapo nyuma. Mengi wameyaboresha. Kutoridhika kwa mtu mmoja katika utendaji wa CCM sio sababu ya kukipaka matope chama kizima.
 
Kutoridhika kwa mtu mmoja katika utendaji wa CCM sio sababu ya kukipaka matope chama kizima.
Siyo mtu mmoja, nawakilisha mawazo ya wanaccm wengi sana. Yawezekana wewe umejijengea wigo wa kutosikiliza vilio vya wanaccm. Jishushe usijione wewe ndiyo mwenye ccm utasikia mengi. Au kama wewe ni shabiki tu wa ccm basi hebu weka akili yako huru, usiyapokee malalamiko ya wanaccm kishabiki utaelewa nasema nn.
 
Huu utafiti wa "kuhoji maoni ya wana CCM wengi" uliufanya lini na wapi?

Kuzungumza na watu waliopo kwenye mtandao wako sio WANA CCM WENGI.
 
Nilikuwepo Dodoma kwa mfano wakati mwenyekiti wetu alipojizolea 100% ya kura zote. Wengi walikuwa wakinong'ona pale kwamba mbona hawakumpigia lkn kapata 100%?. Lkn pia kuwekwa ndani kwa Msukuma na Bashe kipindi kile alipojaribu kubadili kanuni za chama kwamba 2020 apite bila kupingwa.

Mkuu mm ni mhenga ndani ya chama. Nadhani tusiwape faida wapinzani. Amini ninayokuambia
 
Udugu, umoja na mshikamano havipo tena ndani ya chama. Chama kimejaa fitina giliba na na uzandiki. Tumekiuka miiko ya chama "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko". Hivi sasa kinacho hubiriwa tofauti na kile kinachotendeka. Nitawapa mifano mitatu ktk jambo hili.

1. Hivi kwann Mwandosya na Membe watengwe na ccm hadi kufikia wakalalamika? Walifanya kosa gani?

2. Hivi wake wa wabunge wetu maarufu ambao sasa ni narehemu: John Komba na Deo Filikunjombe kwann wanatelekezwa hadi kufikia wanalalamika?

3. Iweje mzee Yusufu Makamba, ingali bado you hai amesahauliwa na chama ktk kipindi hiki ambacho anaumwa?.

Udugu, upendo, umoja na uthabiti wa maneno yetu viko wapi?

Ndani ya chama kwa sasa hakuna demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni. Nafasi za kugombea kupitia chama hiki sasa zinategemea maamuzi ya MTU na siyo sifa ya mgombea wala maamuzi ya vikao. Tumeyaona haya ktk chaguzi zote ndogo zilizofanyika ktk majimbo matano; Longido, Singida mashariki, Siha na Kinondoni.

Michakato ya kuwapata wagombea ktk majimbo haya haikuwa huru na ya haki na haikufuata taratibu zilizoainishwa ktk kanuni wala katiba ya chama.

Lkn pia hata ktk uchaguzi wa wabunge wa EALA, tulimsikia na tunaendelea kumsikia maanamama shupavu Shyrose Bhanji jinsi jina lake lilivyokatwa kibabe.

Vikao vya chama vimeondolewa (japo midomoni tunasema vimepunguzwa) na uwakilishi umeminywa sana ( idadi ya wajumbe wa vikao kupunguzwa kwa zaidi ya robo tatu).

Wanaccm hatuoni fahari tena na chama chetu, tunaumia ndani kwa ndani. Mm na wenzangu tuliokuwa makatibu wa wilaya tukaondoshwa kinyemela tumeamua kuwaamsha wanaccm. Tunaamini wanaccm mtatuunga mkono.

Kumbukeni nyoka akiingia ndani dawa siyo kuikimbia nyumba bali kumuua nyoka. Kama ANC na ZANU- PF wameweza kwann ccm tusiweze?

Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Labda kwenu Marangu!
 
Kigumu chama cha mapinduzi
Zingumu fikra za mwenyekiti
 
i
Nina! Yaani wewe unatetea matumbo makubwa ya watu ndiyo unaandika uchafu huu? Kwanini kuna bianadamu mwana CCM mwenye mkataba kuwa chama kitamtuza milele? Hii Tanzania ina wajane wangapi tena wengine waume zao walijitolea kweli kweli kwa hali na mali sembuse hao!
 
Back
Top Bottom