WanaCCM tusikae kimya, chama kinapoteza sura yake

WanaCCM tusikae kimya, chama kinapoteza sura yake

"CCM asilia hatushiki na maneno yenu. Kimsingi nikwambie hata mkiondoka wote na mkafanya chokochoko zozote tutaongoza sisi tukitoka watakuja wake zetu na wajukuu zetu watawaaongoza miaka yote"
-Kauli ya mdau wa CCM asilia
 
Ccm inawanachama wengi siyo wewe tu na wote wananafasi sawa, au kunanafasi ipo wazi? mlizoea ninyi zamu yenu kutembelea meno
Kwa hiyo mwanaccm mwenzangu unaona sawa kuasisi chama ndani ya chama hili waliowachache hawalioni ila siku za usoni wataliona
 
Mwambie mkuu
Mfano mwangalie Kafulila anachokifanya kwa sasa ni kuchagiza ana jifanye ana mjibu Zitto kumbe wapi issue ya 1.5 isipotee masikioni mwa watu yy aendelee kusikika ule ni ujanja aliouna ndio njia nyepesi baada ya kuona atasahaulika kama wenzake
 
Halafu Kafulila utashangaa anateuliwa, lkn wale waliopambania chama kwa miongo kadhaa wanaachwa. Huu siyo utamaduni wa ccm
 
Halafu Kafulila utashangaa anateuliwa, lkn wale waliopambania chama kwa miongo kadhaa wanaachwa. Huu siyo utamaduni wa ccm
Mku sio rahisi yule kupewa uongozi ni kazi kwani ndio wale tuliowapokea lakini hawaaminiki yaani kuwa na ndimi mbili adui kumpa undani wa imaya ya familia tegemea lolote baya kwa hiyo kutukuaminika kwao hawawezi kuteuliwa.
 
Huo mwandoko siyo wa mwana CCM. Acha ujinga wa kichochezi na kukigawa chama.
Kwahiyo hadi mwandikonajuwa? Kha! Kwahiyo ccm ni kusanyiko la mazuzu wenye mawazo yanayofanana hakunaga tofauti za kimawazo?

Aisee nyinyi ni maiti kabisa.
 
CCM ilishajifia kitambo tu sasa hivi mnatembelea kivuli chake..na jua likiisha zama na kivuli kinapotea...
Magufuli ni adui yenu namba moja.
 
Mkome kuchagua wendawazimu wenye akili za kikomunisti. Mtu ambaye kila siku mifano yake ni "China" ana matatizo ya akili
 
Udugu, umoja na mshikamano havipo tena ndani ya chama. Chama kimejaa fitina giliba na na uzandiki. Tumekiuka miiko ya chama "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko". Hivi sasa kinacho hubiriwa tofauti na kile kinachotendeka. Nitawapa mifano mitatu ktk jambo hili.

1. Hivi kwann Mwandosya na Membe watengwe na ccm hadi kufikia wakalalamika? Walifanya kosa gani?

2. Hivi wake wa wabunge wetu maarufu ambao sasa ni narehemu: John Komba na Deo Filikunjombe kwann wanatelekezwa hadi kufikia wanalalamika?

3. Iweje mzee Yusufu Makamba, ingali bado you hai amesahauliwa na chama ktk kipindi hiki ambacho anaumwa?.

Udugu, upendo, umoja na uthabiti wa maneno yetu viko wapi?

Ndani ya chama kwa sasa hakuna demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni. Nafasi za kugombea kupitia chama hiki sasa zinategemea maamuzi ya MTU na siyo sifa ya mgombea wala maamuzi ya vikao. Tumeyaona haya ktk chaguzi zote ndogo zilizofanyika ktk majimbo matano; Longido, Singida mashariki, Siha na Kinondoni.

Michakato ya kuwapata wagombea ktk majimbo haya haikuwa huru na ya haki na haikufuata taratibu zilizoainishwa ktk kanuni wala katiba ya chama.

Lkn pia hata ktk uchaguzi wa wabunge wa EALA, tulimsikia na tunaendelea kumsikia maanamama shupavu Shyrose Bhanji jinsi jina lake lilivyokatwa kibabe.

Vikao vya chama vimeondolewa (japo midomoni tunasema vimepunguzwa) na uwakilishi umeminywa sana ( idadi ya wajumbe wa vikao kupunguzwa kwa zaidi ya robo tatu).

Wanaccm hatuoni fahari tena na chama chetu, tunaumia ndani kwa ndani. Mm na wenzangu tuliokuwa makatibu wa wilaya tukaondoshwa kinyemela tumeamua kuwaamsha wanaccm. Tunaamini wanaccm mtatuunga mkono.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
wewe lazima ni Nape wewe!

tengua kwanza goli la mkono ndiyo urudi hapa upate sympathy ya Watanzania...
 
ule wimbo bado ninao..siwezi kuufuta .."wacha waisome namba eeeh ccm mbele kwa mbele'..uzuri ni kuwa namba tunaisoma wote..26042018 yawezekana ndio ikawa solution...
 
ule wimbo bado ninao..siwezi kuufuta .."wacha waisome namba eeeh ccm mbele kwa mbele'..uzuri ni kuwa namba tunaisoma wote..26042018 yawezekana ndio ikawa solution...
Solution ya kuvunjwa miguu na kupigwa makofi. Malofa na wakaidi hawatafaidi mpaka siku ya Idd. Ni alhamisi tu ijayo, yetu sisi ni macho.
 
Solution ya kuvunjwa miguu na kupigwa makofi. Malofa na wakaidi hawatafaidi mpaka siku ya Idd. Ni alhamisi tu ijayo, yetu sisi ni macho.
hata wa misri na tunisia walivunjwa miguu..haki haipatikani bila damu kumwagika..wamemwaga damu ya TL,akwilina na wengineo..its enough its enough...
 
Back
Top Bottom