Ok.. I know I know I know.. Hivi ni kweli kumeanza mpango wa kubadilisha title deeds kwa kuwa zile za zamani zinakuwa digitized na hivyo wananchi wanatakiwa kwenda kulipia title deeds mpya? Kwamba gharama ya kumpata title deeds mpya (yaani ya kubadilisha) ni karibu shiliingi 180,000 na kuna watu wanasema kwa Dar zoezi hilo ili liharakishwe kwa upande wako inabidi ujikunze na karibu shilingi milioni 2!!
Lakini kilichomshtusha mtoa data wetu ni uwezekano wa watu ambao wanatafuta upgrades za title deeds zao wanapotakiwa wapeleke zile zamani na wakashindwa kuzipata baada ya muda kupita.. je wanaweza kujikuta title deeds zao zinakuwa revoked na viwanja vyao (ambayo yawezekana tayari vimeendelezwa) kupigwa mnada?
Ninajiuliza, je kuna ulazima gani wa kubadilisha titles ambazo mtu anazo mkononi kwa kumpigia chapa title nyingine wakati hakuna kinachobadilishwa zaidi ya kuingiza information kule kwenye computer system?
Kwa mfano, wakiamua kujidigitized vyeti vya kuzaliwa, itabidi kila mtu apeleke cheti chake cha kuzaliwa halafu apatiwe cheti kipya cha kuzaliwa kwa ada?
Naona kuna wizi wa wazi unajaribiwa kufanywa! Kama mnataka kudigitize hizo title deeds.. YOU DO NOT NEED THE OLD ONE SO YOU GIVE OUT THE NEW ONE UNLESS THE NEW ONE IS A DIGITAL COPY TOO!!
MORONS!! (I'm sorry)...
Hebu mnisaidie wadau mie nilipotaka kuweka title deed ya shamba langu huko kisarawe nikaambiwa inabidi nichukue watu(afisa ardhi) waje wapime eneo kwanza kwa gharama zangu then ndo process iendelee,naomba kuuliza ni mie ninayetakiwa kuwasafirisha afisa ardhi na kuwalipia lunch ili wanipimie shamba au kuna fungu serikalini?wadau mliopima mashamba naomba mnisaidie
Msiogope mabadiliko. Lazima twende na wakati. Tulianza na kusajili sim cards. Vitambulisho vya Lau navyo vyaja. Sasa tuna-ugrade Title Deeds. Ndio maendeleo hayo. Ya zama za Sayansi na Teknolojia.