Wana wa jf :pombe noma

Wana wa jf :pombe noma

Mr.mpemba

Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
17
Reaction score
0
Chapombe alikua anasafiri kwenye treni siku ya tatu bila ya kuonja akamuona mtu mbele yupo na chupa ya biere akakiepeleka mdomoni na kui2a chini kwa kua jamaa alikua na usongo na bia akamlia temingi yule mwenye bia alipozubaa jamaa akatambaa nayo chini kwa chini akachukua chupa ya bia na na kuifakamia fasta ghafla akaitoa mdomoni muda si muda yule jamaa akawa anaitafuta chupa yk kumbe ile ilikua sio bia bali yule jamaa alikua na tatizo la kujaa mate mdomoni kutokana na kichefuchefu so alikuwa akii tumia ile chupa kutemea mate dah uroho noma jamaa hoi mijicho haaah chapombe kutafika anataka kukaa anataka
 
sitaki tena pombe,sitaki nakataa,sitaki katukatu,sitaki asilani...... Nalog off
 
Ahahaha chapombe kameza mimate ya jamaa, 'kampiga mdenda'
 
Lakini Watengenezaji wanakwambia;'NOT FOR SALE TO PERSONS UNDER 18, DONT DRINK AND DRIVE, DRINK RESPONSIBLY...' Ukiyatimiza yote hayo,walatini walisema; IN VINO VERITAS..
 
Pombeee were wereee mi nshalala bafuni c mchezo
 
Ahahaha chapombe kameza mimate ya jamaa, 'kampiga mdenda'

sijui kuhusu hii remix, ila original version mwana alichukua chupa ya mgonjwa wa TB iliyokuwa na makohozi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom