Wana ndoa kwa wiki mnakutana mara ngapi

Kugegeda hakuna formula
Ni kama kiu ya kunywa maji, anytime ukihisi kiu unamuweka mwenzio kwenye feeling kazi inaanza
 
Mimi siko kwenye ndoa lakini ni mtaalamu wa haya mambo
Kwa wiki ni mara 4 au 3
Siku ambazo tendo la ndoa halitakiwi kufanyika hata kwa bahati mbaya ni Ijumaa Jumamosi na Jumapili
 

WHO mara mbili mpaka tatu
 
Kuna mdau nimemuelewa sana kuwa hivi vitu vinaendana na mood mkiwa hamna mawazo kila kitu kipo sawa utaitaji papaa mda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…